Nimefanyiwa root canal treatment, inanitesa sana hata kula nashindwa

Nimefanyiwa root canal treatment, inanitesa sana hata kula nashindwa

Pole ndio ujue prevention is better than cure ungefuata kanuni za kutunza meno usingefikia hapo.Pole sana ndio tiba yenyewe otherwise ung'oe
Uko sahihi kabisa, nimekutana na mtu mwenye umri karibia 60, anasema hajawahi kwenda kwa dentist kwa sababu ya shida ya meno.
 
Kama jino limezingua fanya ulitoe tu hakuna namna nyingine.....
 
Nimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi
Mwenye Experience na root canal treatment anisaidie nifanyaje cz doctor kanipiga tarhe had tarhe 20/9
hapo mkuu bado zoezi halijakamilika ndo upo kwenye hatua ya mwisho inabidi urudi tena ili watoe hiyo layer inayoyeyuka then wakuwekee mercury ambayo inakaa muda wote mimi pia nimeifanya hiyo na sasa niko safi kabisa natafuta mpaka pingili za miwa rudi hospital wakakamilishe root canal
 
DFP kiboko Sana mwanangu ahsante kunikumbusha toka niitumie 2012 mpk leo sijawahi umwa jino nashukuru doctor buberwa but now days iko expensive Sana wanauza 25000 while kipindi hicho walikuwa wanauza 8000 tu
 
Kama una dawa haina haja kujificha kwenye maelezo , toa location unapatikanaje, na kama wewe ni mtoa huduma hiyo.. Watu wengi watafaidika kwenye eneo.
Huyo ni mzee wa Herbals. Subiri upigwe Tsh 300,000.
 
Back
Top Bottom