Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Kiongozi huyu sidhani kama kesi yake ni maumivu ya jino na kama sikosei huo ni ushauri kwa mwenye maumivuChukua chumvi dissolve kwa maji then unywe uwe kama unasukutua but usimeze fanya hivo times 3, 4, 5 per day kadri unavo weza haita chukua muda unapona kabisa.
Baada ya hapo ulete mrejesho.
Mambo vipi!!Nimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi
Mwenye Experience na root canal treatment anisaidie nifanyaje cz doctor kanipiga tarhe had tarhe 20/9
Nimepokea mkuu, wazo zuriKiongozi huyu sidhani kama kesi yake ni maumivu ya jino na kama sikosei huo ni ushauri kwa mwenye maumivu
Kama una dawa haina haja kujificha kwenye maelezo , toa location unapatikanaje, na kama wewe ni mtoa huduma hiyo.. Watu wengi watafaidika kwenye eneo.Pole sana, nashindwa ni explain vipi maana tayari umeshafanya hivyo sijui uwezo wa huyo doctor
ila hilo eneo ni nyeti sana kuna mishipa ya fahamu ndio maana sio busara kugusagusa hilo eneo kizembe.
My story
Kabla sijajihusisha na tiba asili miaka mitano hivi iliyopita mimi jino langu lilitoboka katikati niliumwa sana
usiku (mid-night) mmoja nililia kinoma nadhani sijawai kuumwa hivyo wenye experience na hili watakubaliana
na mimi yani moja haikai na mbili haikai yani unalia na sauti haitoki mbaya sikua na dawa na kutuliza maumivu.
Asubuhi nilienda kwa wataalamu wa tiba asili wakanipa unga flani kweli ukatuliza maumivu kwa mda ila
yakawa yanarejea mara kwa mara ila tangu nigundue dawa ya hili sijang'oa wala sijaenda hospitali niko poa tu nakula hadi keki.
Dawa ninayo ni ya uhakika na wala usingekua na haja yakufanya hiyo root canal treat nikuzinguana tu.
Hii dawa yangu inatibu jino ililotoboka ,fizi, sore throat, mouth alcers na thyroid gland ambayo inaratibu kiasi cha calcium kwenye mifupa. Tena kwa ku goggle tu. Unaweza jiuliza vipi kwenye thyroid gland alafu kusukutua tu "Kwenye ulimi mwisho kuna kishimo kidogo kinachoshuka hadi kwenye thyroid gland kinaitwa Foramen cecum "This small, blind hole at the back of the tongue is a remnant of where the thyroid gland started to develop in the embryo, before it dropped down into the neck" hivyo hapo ndio dawa inapitia)
Kila kitu nacho jibu najibu kwa weledi mkubwa.
Kama unahitaji hii dawa nicheki hata kwa ushauri tu.
Mimi niko Moshi maeneo ya Soko la relini karibu na kiwanda cha Serengeti. Call 0687439333Kama una dawa haina haja kujificha kwenye maelezo , toa location unapatikanaje, na kama wewe ni mtoa huduma hiyo.. Watu wengi watafaidika kwenye eneo.
Hapo sawa kabisaMimi niko Moshi maeneo ya Soko la relini karibu na kiwanda cha Serengeti. Call 0687439333
Sijui wewe pengine ni msafi sana ila kunakitu naomba nikujuze kuna kiwango cha calcium mwilini pia kikipungua huweza leta shida hii, inajulikana sehemu nguma kuliko zote kwenye mwili wa mwana damu ni jino. Ila mara nyingie huweza kupata tatizo la MENO kuvunjika vunjika, sasa sijui hili pia ni swala la usafi?Pole ndio ujue prevention is better than cure ungefuata kanuni za kutunza meno usingefikia hapo.Pole sana ndio tiba yenyewe otherwise ung'oe
Pole tena sio swala la usafi bali pia ungeenda kumwona mtaalam mapema ingesaidiaSijui wewe pengine ni msafi sana ila kunakitu naomba nikujuze kuna kiwango cha calcium mwilini pia kikipungua huweza leta shida hii, inajulikana sehemu nguma kuliko zote kwenye mwili wa mwana damu ni jino. Ila mara nyingie huweza kupata tatizo la MENO kuvunjika vunjika, sasa sijui hili pia ni swala la usafi?
Jamani hili haliondoi umuhimu wa usafi, tusafishe vinywa pia ni muhimu kwa afya zetu wenyewe.
Nimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi
Mwenye Experience na root canal treatment anisaidie nifanyaje cz doctor kanipiga tarhe had tarhe 20/9
Ni kiingereza hiki?i aint need that, am the one rare u could find on earth who remanding u about organic foods, the source of diseases. 4gert about dramas awake o falling on traps !
DFP Dental formula power, tangu nitumie hiyo dawa ni zaidi ya miaka 15 sasa sijapata matatizo ya meno teno.Kama una dawa haina haja kujificha kwenye maelezo , toa location unapatikanaje, na kama wewe ni mtoa huduma hiyo.. Watu wengi watafaidika kwenye eneo.
Kama ulienda kwenye private hospital hayo ni ya kawaida sana, kuna hospital moja Dar walinifanyia hio kitu sikulala kabisa yaani kama vile nileinda kununua maumivu hadi pale nilipopata akili nikaenda Muhimbili.....jamaa walinirekebisha kwa 30,000 tu na sijawahi kusikia maumivu. Yule Mbwa pale Magomeni angeniuaNimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi
Mwenye Experience na root canal treatment anisaidie nifanyaje cz doctor kanipiga tarhe had tarhe 20/9