Uko sahihi kabisa, nimekutana na mtu mwenye umri karibia 60, anasema hajawahi kwenda kwa dentist kwa sababu ya shida ya meno.Pole ndio ujue prevention is better than cure ungefuata kanuni za kutunza meno usingefikia hapo.Pole sana ndio tiba yenyewe otherwise ung'oe
KiinglishiNi kiingereza hiki?
hapo mkuu bado zoezi halijakamilika ndo upo kwenye hatua ya mwisho inabidi urudi tena ili watoe hiyo layer inayoyeyuka then wakuwekee mercury ambayo inakaa muda wote mimi pia nimeifanya hiyo na sasa niko safi kabisa natafuta mpaka pingili za miwa rudi hospital wakakamilishe root canalNimefanyiwa root canal treatment nimewekewa dawa sielewi ni dawa au nini inayeyuka kadri siku zinavyoenda na shimo la Jino linaonekana napata shida hata kula siwezi
Mwenye Experience na root canal treatment anisaidie nifanyaje cz doctor kanipiga tarhe had tarhe 20/9
Huyo ni mzee wa Herbals. Subiri upigwe Tsh 300,000.Kama una dawa haina haja kujificha kwenye maelezo , toa location unapatikanaje, na kama wewe ni mtoa huduma hiyo.. Watu wengi watafaidika kwenye eneo.
Unapatikana? Hii 2024Mimi niko Moshi maeneo ya Soko la relini karibu na kiwanda cha Serengeti. Call 0687439333