loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.
Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD.
Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks.
The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and equity within Tesla and SpaceX, rather than available as cash in a bank account.
Kumbe ile dollar billion 800 siyo kesh ni ma hisa tu Kama ya CRDB na UTT AMIS.
Asee hili jambo limenifariji sana kumbe jamaa mbwembwe tu hana lolote, utajiri ni cash bwana.
Kuna wasukuma na wamasai huko chaka wana ng'ombe za kutosha lakini wako kimya tu.
Kuna watu wana mahekta ya ardhi wako kimya tu.
Tunatishwa ooh Elon ana 800 billion USD kumbe ni hisa. Kama Elon ndio hivyo hawa wa kwetu kina Vunja bei na Diamond si ndio utakuta wana malaki tu in cash.
Kwaanzia leo nitalala unono bila stress.
adriz de mbusii.