Unaweza kuta huyo elon hana hata eneo wala nyumba,kote amepanga alafu ni tajiri.
Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.
Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD.
Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks.
The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and equity within Tesla and SpaceX, rather than available as cash in a bank account.
Kumbe ile dollar billion 800 siyo kesh ni ma hisa tu Kama ya CRDB na UTT AMIS.
Asee hili jambo limenifariji sana kumbe jamaa mbwembwe tu hana lolote, utajiri ni cash bwana.
Kuna wasukuma na wamasai huko chaka wana ng'ombe za kutosha lakini wako kimya tu.
Kuna watu wana mahekta ya ardhi wako kimya tu.
Tunatishwa ooh Elon ana 800 billion USD kumbe ni hisa. Kama Elon ndio hivyo hawa wa kwetu kina Vunja bei na Diamond si ndio utakuta wana malaki tu in cash.
Kwaanzia leo nitalala unono bila stress.
adriz de mbusii.

Nimesikitika na kushangaa kuwa ulikuwa hujui hio FACT. Kuna kipindi Roman Abramovich alikuwa the richest man in cash duniani baada ya kuuza makampuni yake alikuwa na cash kama $15b hivi. Utajiri unaotqjwa na Forbes hujumuisha mali zao za aina zote plus cash ambayo ni sehemu ndogo ya utajiri wao.Nilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.
Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD.
Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks.
The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and equity within Tesla and SpaceX, rather than available as cash in a bank account.
Kumbe ile dollar billion 800 siyo kesh ni ma hisa tu Kama ya CRDB na UTT AMIS.
Asee hili jambo limenifariji sana kumbe jamaa mbwembwe tu hana lolote, utajiri ni cash bwana.
Kuna wasukuma na wamasai huko chaka wana ng'ombe za kutosha lakini wako kimya tu.
Kuna watu wana mahekta ya ardhi wako kimya tu.
Tunatishwa ooh Elon ana 800 billion USD kumbe ni hisa. Kama Elon ndio hivyo hawa wa kwetu kina Vunja bei na Diamond si ndio utakuta wana malaki tu in cash.
Kwaanzia leo nitalala unono bila stress.
adriz de mbusii.
anaweza kuziuza hizo hisa muda wowote sio mapambo. mbona wewe huna hizo hisa ndo maana yeye ni tajiri namba 1 dunianiNilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.
Kumbe hela ambayo anayo mkononi cash ni ya kawaida tu hata haipiti billion 2 USD.
Kumbe utajiri wake unathaminishwa na stocks.
The vast majority of his fortune is illiquid, tied up in stock and equity within Tesla and SpaceX, rather than available as cash in a bank account.
Kumbe ile dollar billion 800 siyo kesh ni ma hisa tu Kama ya CRDB na UTT AMIS.
Asee hili jambo limenifariji sana kumbe jamaa mbwembwe tu hana lolote, utajiri ni cash bwana.
Kuna wasukuma na wamasai huko chaka wana ng'ombe za kutosha lakini wako kimya tu.
Kuna watu wana mahekta ya ardhi wako kimya tu.
Tunatishwa ooh Elon ana 800 billion USD kumbe ni hisa. Kama Elon ndio hivyo hawa wa kwetu kina Vunja bei na Diamond si ndio utakuta wana malaki tu in cash.
Kwaanzia leo nitalala unono bila stress.
adriz de mbusii.
Cash ni karatasi tu ambayo thamani yake inapangwa na serikali.Nimesikitika na kushangaa kuwa ulikuwa hujui hio FACT. Kuna kipindi Roman Abramovich alikuwa the richest man in cash duniani baada ya kuuza makampuni yake alikuwa na cash kama $15b hivi. Utajiri unaotqjwa na Forbes hujumuisha mali zao za aina zote plus cash ambayo ni sehemu ndogo ya utajiri wao.
Nafikiri hii post hukukusudia kunitumia mimi.Cash ni karatasi tu ambayo thamani yake inapangwa na serikali.
Hisa ni umiliki wa viwanda, mashine n.k, ikitokea mfumo wa kifedha duniani ukayumba huyo mwenye cash atabaki na pesa zake zinamwangalia tu lakini anayeinvest kwenye hisa, atabaki na viwanda vyake na teknolojia yake..
Bado hauoni tu ni kwanini hao matajiri wanafanya hivyo?
Hakika, inamuhusu mtoa mada.Nafikiri hii post hukukusudia kunitumia mimi.
ChaiNilikuwa(ga) naumia, kumchukia na kumuonea wivu bure Elon Musk eti tajiri namba moja duniani.