HahaTbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.
Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
Hii habari siyo mpya hapa mjini. kwan Kipindi cha AFCON ilikuwaje?.maana tulikuwa tunaona giza tuHamjambo
Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote
Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea
Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu
Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress kubwa ilikuwa kombe la dunia tu na kama nalipata TBC ni vyema sana kwangu kwa kipindi hiki
Tamthilia sio mambo yangu labda NBC PREMIUM LEAGUE ndio itanisumbua
TBC hongereni sana kwa kuonyesha michuano hii hakika ninyi kweli ni BRAND BORA AFRICA hamna mpinzani
Halafu katikati ya mpira ukinoga tu hawakawii kukuonesha 'mama' anavyoupiga mwingi!.Quality sasa
Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.
Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
Kwa uchumi huu mwekundu, nitakomaa nao tuTbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.
Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
Huwa siiangalii, hongera kwaoSiku hizi upande wa quality wapo vizuri