Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

Tbc usiwawekee dhamana. Tayari wametuingiza chaka. Nilikuwa na hamu sana na Curacao
 
Vipi unaendelea kufarijika?
 
TBC ni takataka bombeii. Inachagua mechi za kuonyesha.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hongera mjomba. Naona unaifirahia TBC ukweli na uhakika. Yaani bure kabisa. Hujalipia king'amuzi kama sisi wenzako.
 
Tbc usiwaamini sana,,, tafuta pesa lipia kingamuzi upate full burudani.

Huko Tbc katika ya mechi wakiona views ni wengi pindi linabadilishwa utaona tu
Kipindi maalumu mama anazindua kilimo cha matikiti huko chake chake tutarudi baada ya muda mfupi.
Umesema kweli ubora wa picha ni hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…