Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Pole.Mimi ni kijana wa miaka 25. Ninapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Nilikuwa mwanafunzi wa chuo lakini imetokea nimedisco chuo.
Nahitaji ushauri wa nini nifanye maana naona kama nimevurugwa kwa hili jambo na sijiu nfanye nini ili maisha yaendelee.
Its like chuo was my only stand and now it has fallen.
Ata me nahisi udom koz imekula vichwa vingi sanaChuo itakuwa Udom maana mwaka huu wamekula vichwa vingi sana.
Kwa nin ulidisco?wanafamilia ya JF
Mimi nilikuwa nasoma TIA course ya procurement and logistics management nikadisco semester ya 1 ikabidi nikae nyumban hadi September intake ni apply tenah lakin naomba ushauri wenu nihame chuo chengine uwenda pale nimeshindwa au niendele pale pale nifanye kuapply tenah naomba ushauri.
Acha tabia za u miss utafaulu, shule inahitaji juhudi za kusoma ata kama ni kozi ndogo.wanafamilia ya JF
Mimi nilikuwa nasoma TIA course ya procurement and logistics management nikadisco semester ya 1 ikabidi nikae nyumban hadi September intake ni apply tenah lakin naomba ushauri wenu nihame chuo chengine uwenda pale nimeshindwa au niendele pale pale nifanye kuapply tenah naomba ushauri.
Kwanza fahamu kilichokufanya udisco ni kipi?je umesha kitafutia majibu..manaake hata ukienda chuo kingine usije dsico tena.wanafamilia ya JF