ahmed omar
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 270
- 215
Tupe connection kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufuga kunahitaji eneo kubwa vipi Bei ya mapori?Njoo Tanganyika tufuge!
Biashara nzuri sana ukiwa na usafiri kwa mfano pikipiki, suzuki carry. Mayai ya kuku pia yanalipa kwenye senta au miji ya wastani ukanda huu.Kuna msela nilimkuta huko porini ameanzisha project ya ufugaji kuku wa kienyeji,jamaa ana kuku wengi..Soko lake anapeleka mjini.
Asante sana kwa taarifa..vijana waache kujazana mjini waende maeneo kama hayo wakapambane..
Vipi debe la mahindi bei gani huko?
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu mashamba ni tambarale au milima, na je vp mashamba pori wanauzajeMkuu changamoto vipicha sijapiga Sana maana simu ikizima kuchaji huko vijijini ni shida,maana umeme hakuna.
Hii kitu ndio nataka nianze kuifanya next year shambani kwanguKuna msela nilimkuta huko porini ameanzisha project ya ufugaji kuku wa kienyeji,jamaa ana kuku wengi..Soko lake anapeleka mjini.
Ngoja tujipange tuje kulima uko mkuu, tegemea kuwa mwenyeji wetuGunia nilikuta Lina elfu90,lakn limeshuka kidogo Sasa ni 80000
Maeneo ya mbali huko yanafaa uwekezaji mkubwa wa juweza kuleta Products miji mikubwa na kuuza hasa product ambazo sio za nafaka.Wanajamvi Aslam,
Hama baada ya salamu ndugu zangu Ile safari yangu ya kwenda mji wa Mpanda kuona fursa za kilimo imetimia.
Nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya vijiji tofauti tofauti Kwaajili ya kuangalia maeneo, ni kweli natoa ushuhuda kwamba kilimo kimetajilisha watu wengi hususani Mji wa Mpanda na wengi wao wakiwa ndugu zetu wasukuma na wageni kutoka mikoa mbali mbali wanakuja kuwekeza.
Nilibahatika kupitia vijiji vya wilaya ya Mlele na kutembelea na kisha kwenda hadi wilaya ya Tanganyika inayopakana na mkoa wa Kigoma, vijiji kama Mwese na kuona jinsi mapori yalivyojazana huko na mashamba mazuri na mabonde.
Kweli Tanzania ni kubwa na kuwa masikini ni kujitakia wenyewe, wasukuma wanaivisha huko magunia na magunia ya mahindi. Ardhi unapewa hata bure unaweka watu wanafyeka mianzi unalima bure tu, mahindi yanatoka baraa.
Kijijini kilichonivutia zaidi na kuamua kukodi na mashamba ni Kijiji cha Kapanga, ni center iliyochangamka na magari yanasomba mahindi Kila kukicha na wafanyabiashara wamejaa kutafuta mahindi.Kiujumla mpanda ni mji unakuwa Kwa kasi na mabosi wengi ni wakulima.
Vijana tuamkie kilimo na kilimo kinalipa, mambo ya kuzunguka na bahasha za kaki haina maana, mashamba tele hayajawai kulimwa tangu kuwepo kwa dunia.
View attachment 2339026
Mkuu hebu tupe details kdg kuhusu hali ya kilimo huko.Wanajamvi Aslam,

Nakubali mkuu yaani wenzetu ni wapambanaji kweli kweli.kwenye jumuiya ya east Africa tuungane ardhi wa Kenya,Uganda,Rwanda n,k wapewe nafasi ya kulima,kufuga kama raia wa tz alafu tuone mziki.akuna mkenya au Mganda atakuja kupanga chupi barabarani afanye umachinga wakati utajiri upo huko katavi,Singida,Manyara n,k
Asante sana mkuu kwa wazo zuri la kujikwamua na hali ngumu ya maisha, ningeomba mawasiliano yako mkuu nije nniwekeze kwenye kilimo. AsanteWanajamvi Aslam,
Hama baada ya salamu ndugu zangu Ile safari yangu ya kwenda mji wa Mpanda kuona fursa za kilimo imetimia.
Nilipata nafasi ya kutembelea baadhi ya vijiji tofauti tofauti Kwaajili ya kuangalia maeneo, ni kweli natoa ushuhuda kwamba kilimo kimetajilisha watu wengi hususani Mji wa Mpanda na wengi wao wakiwa ndugu zetu wasukuma na wageni kutoka mikoa mbali mbali wanakuja kuwekeza.
Nilibahatika kupitia vijiji vya wilaya ya Mlele na kutembelea na kisha kwenda hadi wilaya ya Tanganyika inayopakana na mkoa wa Kigoma, vijiji kama Mwese na kuona jinsi mapori yalivyojazana huko na mashamba mazuri na mabonde.
Kweli Tanzania ni kubwa na kuwa masikini ni kujitakia wenyewe, wasukuma wanaivisha huko magunia na magunia ya mahindi. Ardhi unapewa hata bure unaweka watu wanafyeka mianzi unalima bure tu, mahindi yanatoka baraa.
Kijijini kilichonivutia zaidi na kuamua kukodi na mashamba ni Kijiji cha Kapanga, ni center iliyochangamka na magari yanasomba mahindi Kila kukicha na wafanyabiashara wamejaa kutafuta mahindi.Kiujumla mpanda ni mji unakuwa Kwa kasi na mabosi wengi ni wakulima.
Vijana tuamkie kilimo na kilimo kinalipa, mambo ya kuzunguka na bahasha za kaki haina maana, mashamba tele hayajawai kulimwa tangu kuwepo kwa dunia.
View attachment 2339026
Mkuu hivi Mwesse nina sikia ina no mwisho no ngapi kutoka no 1 Hadi ngapi??Ni kweli. Unaweza kujisemesha kuwa umechelewa. Kwa sasa vijiji hasa Mwese wilaya ya Tanganyika, naona kuna uwekezaji mkubwa wa parachichi. Na hali ya hewa inasapoti vizuri zao hilo.