Nimefika Katavi na kujionea jinsi watu wanavyotajirika kupitia Kilimo

Kuna msela nilimkuta huko porini ameanzisha project ya ufugaji kuku wa kienyeji,jamaa ana kuku wengi..Soko lake anapeleka mjini.
Biashara nzuri sana ukiwa na usafiri kwa mfano pikipiki, suzuki carry. Mayai ya kuku pia yanalipa kwenye senta au miji ya wastani ukanda huu.
 
Kuna msela nilimkuta huko porini ameanzisha project ya ufugaji kuku wa kienyeji,jamaa ana kuku wengi..Soko lake anapeleka mjini.
Hii kitu ndio nataka nianze kuifanya next year shambani kwangu
 
Ni kweli. Unaweza kujisemesha kuwa umechelewa. Kwa sasa vijiji hasa Mwese wilaya ya Tanganyika, naona kuna uwekezaji mkubwa wa parachichi. Na hali ya hewa inasapoti vizuri zao hilo.
 
Maeneo ya mbali huko yanafaa uwekezaji mkubwa wa juweza kuleta Products miji mikubwa na kuuza hasa product ambazo sio za nafaka.

Bado masoko makubwa yanabakia kuwa Dar au Arusha au Mwanza, nilienda Kigoma nako kuna furusa ila inahitaji uwekezaji mkubwa sana wa kuzalisha na kupeleka product miji mikubwa na sio kuuzia madalali.
 
Mkuu hebu tupe details kdg kuhusu hali ya kilimo huko.
Mashamba kukodi ni bei gan kwa eka?
Ni kilimo cha kumwagilia au cha kutegemea mvua?
Upatkanaj wa zana za kulimia ukoje? I mean Kuna powertillers za kutosha au tractors au wanalimia ng'ombe?
Vp upatkanaji wa wasaidizi wa kulima (vibarua) ukoje? Wanapatkana kwa urahisi?
Natanguliza shukrani!
 
Nakubali mkuu yaani wenzetu ni wapambanaji kweli kweli.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Asante sana mkuu kwa wazo zuri la kujikwamua na hali ngumu ya maisha, ningeomba mawasiliano yako mkuu nije nniwekeze kwenye kilimo. Asante
 
Ni kweli. Unaweza kujisemesha kuwa umechelewa. Kwa sasa vijiji hasa Mwese wilaya ya Tanganyika, naona kuna uwekezaji mkubwa wa parachichi. Na hali ya hewa inasapoti vizuri zao hilo.
Mkuu hivi Mwesse nina sikia ina no mwisho no ngapi kutoka no 1 Hadi ngapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…