Nimefika na kumsalimia dada mmoja ambaye ameinamia kwenye simu yake muda wote...

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
530
Reaction score
1,446
Nimefika Ofisi moja hapa DSM.

Nimefika na kumsalimia dada mmoja ambaye ameinamia kwenye simu yake muda wote...nami nikakaa reception namsubiria ndugu yangu anipe connection.

Dada akanicheki kijicho na dharau... Kisha

We mkaka una Shida gani?
Mimi: Sina Shida yoyote, Ila Mimi sijambo, sijui wewe Hujambooooo?

Dada: Nakuuliza una shida gani labda nikusaidie?

Mimi: Nimekujibu Sina Shida yoyote mpendwa, labda wewe una shida yoyote!?

Dada : Mmmmmh haya, (Kwa upole) nilitaka tu kujua.

Mimi: Nipo Sawa mpendwa. Usijali. Kuna mtu namsubiria hapa.

Dada: Jamani (Kwa wasiwasi) Sasa si hapa ni ofisini sema tukusaidie...

Mimi: Namsubiria tu Hapana shaka.

Dada: Tatizo wabongo Tunapenda connection.

Mimi: Uzuri Umesema "Tunapenda ina maana Mimi wewe na wengine wote Tunapenda.

Dada : (huku anacheka) haya umeshinda!

Mimi: nikatabasamu tu na ndugu yangu kafika tumeyeya...

Je, Unadhani Hapa Kuna Shida yoyote??????
 
Maq@ri yo wewe! Una ucheshi wa kishamba mno, kulikuwa na ulazima gani wa kuleta vikolombwezo vya kijinga? M
 
Back
Top Bottom