Nimefika wilaya ya kisarawe sijapaelewa kabisaa

Hahaa ni kijijin balaa ,udongo mwekundu hatari,hakuna maduka ya maana ,niliwahi kufika kwa jokate na hospital hapo nikaishiwa nguvu
Ivi sehemu Ikiwa na udongo mwekundu lazima pawe kijijini, sijajua ni kwa nini watu wanahusianisha udongo mwekundu na kijijini
 
Hko kila siku watu Wako ngomani!

Ova
 
Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.
Ha ha ha ha mkuu iy wilaya ni hatr saaan ,,
Wengine tumesoma apo minaki na ni wilaya ipo karibu na jijin dar ila kuendelea haitaki[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Nahic kuna jini mkata kamba pale maan ipo vile vile miak nenda rudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…