Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi sehemu Ikiwa na udongo mwekundu lazima pawe kijijini, sijajua ni kwa nini watu wanahusianisha udongo mwekundu na kijijiniHahaa ni kijijin balaa ,udongo mwekundu hatari,hakuna maduka ya maana ,niliwahi kufika kwa jokate na hospital hapo nikaishiwa nguvu
Miono iko wilaya ya bagamoyo, ukitoka wami mbele kidogo kuelekea segera kuna Kijiji kinaitwa mandera unakunja kulia kuelekea saadani national parkHivi Miono nayo ipo Kisarawe?
😂😂😂😂😂Ulifanikiwa kumuona muheshimiwa?
Ha ha ha ha mkuu iy wilaya ni hatr saaan ,,Enyi wanakisarawe hii wilaya yenu vipi. Yaani mnazidiwa hata na chanika mwisho kwa mishemishe pamepoa saana.