Nimefikia lengo njia zipi hutumika kufunga kizazi kwa nwanaume na zina madhara gani?

J33

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
1,552
Reaction score
1,513
Nimefikia lengo wakuu!!
Tangu nakua nilikuwa na malengo ya kuwa na watoto wanne kila mmoja akiwa na mama yake.

Lengo limefikia na hata kupita maana sasa kuna watoto watatu na mimba mbili nimeona njia sahihi ya kuzuia kuendelea kupata watoto zaidi ni mimi kufunga kizazi.

Nahitaji namna sahihi ya kufanya ivyo bila kuadhiri uwezo wangu wa kusex na nguvu za kiume nipo tayari kulipa gharama yeyote kwenye hospital yeyote hapa Afrika Mashariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri hao wawili wenye mimba wajifungue ndiyo uje tena hapa kuomba kupewa utaratibu wa kufunga uzazi.
 
Reactions: J33
Kuna hii inaitwa vasectomy...mirija ya kupitisha manii/mbegu hukatwa. Ni njia ambayo ni ya kudumu, ni vigumu kurejesha hali ya awali. Tatizo linalosemwa juu ya njia hii kutengeza kitu kinaitwa sperm granuloma, hiki ni kama kiuvimbe flani ambacho chaweza leta maumivu kidogo na cha DHANIWA kuweza kubadilika na kuwa saratani (cancer)
 
Kumbe kuna wanaume wanakuwa na Mawazo ya kufunga kizazi????
Nilijua ni wanawake tu.
Kila la kheri Mkuu.
Lakini, ungesubiria wakazalika kwanza hao watoto walioko tumboni ili uwe na uhakika kamili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo kwa njia hii ukisex hukojoi au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha nimecheka eti wamevuka lengo hahahha! hatar
 
Reactions: J33
Cheki kwanza vinasaba(DNA) za hao watoto unaojifikirisha ni wako kabla ya kupeleka kende zako kuminywa, natumaini usipofanya hivyo mapema utalia kile kilio kilichoandikwa kwenye Biblia "cha kusaga meno)
 
Cheki kwanza vinasaba(DNA) za hao watoto unaojifikirisha ni wako kabla ya kupeleka kende zako kuminywa, natumaini usipofanya hivyo mapema utalia kile kilio kilichoandikwa kwenye Biblia "cha kusaga meno)
I'm very sensitive to that Mkuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kila mtu Ana malengo yake watoto 6 kila mmoja na mama ake was ur dream na imekuwa kweli
kweli koo/ familia zingine zina laana
 
Ili kuepuka madhara yasiotarajiwa kwanini usiwe unatumia njia ya kutoa nje wazungu wakiwa wanakuja...?
 
Mmh hili swala lako lina ukakasi, kidume utaanzaje kujifungia fursa ya kuwa na watoto!?
Bila shaka ww ni mtu wa pwani.
 
Mmh hili swala lako lina ukakasi, kidume utaanzaje kujifungia fursa ya kuwa na watoto!?
Bila shaka ww ni mtu wa pwani.
Watoto wangapi Mkuu? Pwan mbona ndio wanakuwa na idad kubwa ya watoto Mkuu? Mimi sio MTU Wa Pwan na wala sio hata Wa karibu na pwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…