Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Kukojoa mbegu kuna raha yake bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukojoa mbegu kuna raha yake bhana
Bado ongeza wwNimefikia lengo wakuu!!
Tangu nakua nilikuwa na malengo ya kuwa na watoto wanne kila mmoja akiwa na mama take, lengo limefikia na hata kupita maana sasa kuna watoto watatu na mimba mbili. Nimeona njia sahihi ya kuzuia kuendelea kupata watoto zaidi ni mm kufunga kizazi. Nahitaj namna sahihi ya kufanya ivyo bila kuadhiri uwezo wangu Wa kusex na nguvu za kiume. Nipo tayar kulipa gharama yeyote kwenye hospital yeyote hapa Afrika Mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha haha sasa naomaba ujiandae kuniomba radhi mapema kabla sijanunajamaaa ananikosea kunifananisha na nyie wachaga bna hamjulikani mikono ni ipi na miguu ni ipi
We funga tu hicho kizazi halaf mwisho wa siku unakuja kugundu kati ya hao wanao ni mmoja tu ndio damu yakoNimefikia lengo wakuu!!
Tangu nakua nilikuwa na malengo ya kuwa na watoto wanne kila mmoja akiwa na mama take, lengo limefikia na hata kupita maana sasa kuna watoto watatu na mimba mbili. Nimeona njia sahihi ya kuzuia kuendelea kupata watoto zaidi ni mm kufunga kizazi. Nahitaj namna sahihi ya kufanya ivyo bila kuadhiri uwezo wangu Wa kusex na nguvu za kiume. Nipo tayar kulipa gharama yeyote kwenye hospital yeyote hapa Afrika Mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo haitatokea wala kuwezekana Mkuu , ile kitu ni tam sana aiseeMimi nashauri nenda ka hasiwe tu moja kwa moja ili ku avoid unnecessary complications
Samahani lakini kama utakwazika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya hao wanawake mmoja mwenye mtoto Wa tatu ni mke wangu Wa ndoa, kilichonifanya kuanzisha thread hii asubuh asubuh ni kwakuwa ameniambia tayar ana ujauzito na sikutaka kuzaa naye tena niliyeplan kuzaa naye mtoto Wa NNE tayar ana mimba anajifungua katikati ya mwez ujao. Kuhusu magonjwa mtan wangu usijali najua namna ya kujikinga na najua hawa watoto wanahitaj malez yangu kwa hali na Mali na afya ndio mtaji namba Moja.samahani mkuu kwa hiyo unataka kufunga kizazi usipate tena mtoto lakini uendelee kufanya ngono na wanawake tofauti ? au kuna mwanamke kati ya hao utaishi naye ? sababu naona kama unazuia mimba ila ujafikiria upande wa magonjwa ya kizembe
Nimejaribu sana hii nimeshindwa madhara take kwangu nikiwa hata nikifanya kwa muda gan ham haiishi hadi nimwage mulemule Mkuu.Mkuu njia nzuri na isiyokuwa na madhara ni kumwaga nje wakati wa tendo la ndoa! Hii njia ni nzuri sana ingawa ni ngumu kidogo kuitumia na inahitaji ushirikiano wako na mkeo/mpenzi wako
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mtani fanya hima ila mkuu sababu ya kuzaa watoto na wanawake wengi unaweza sema labda ni nzuri.. me naua watoto hubeba damu ya baba .... ingekuwa mwanamke ningesema anabahatisha kupata damu tofauti tofauti mkuu kama hutajali naombaKati ya hao wanawake mmoja mwenye mtoto Wa tatu ni mke wangu Wa ndoa, kilichonifanya kuanzisha thread hii asubuh asubuh ni kwakuwa ameniambia tayar ana ujauzito na sikutaka kuzaa naye tena niliyeplan kuzaa naye mtoto Wa NNE tayar ana mimba anajifungua katikati ya mwez ujao. Kuhusu magonjwa mtan wangu usijali najua namna ya kujikinga na najua hawa watoto wanahitaj malez yangu kwa hali na Mali na afya ndio mtaji namba Moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! kaka kweli una nyota ya jogoo kama sio beberu. Ila nadhani lengo lako halijakaa sawa coz usimamizi wa hao watoto utakuwa ni wa kusuasua. Hao wanawake ulikuwa unaolea na mizimu ya familia yenu?Nimefikia lengo wakuu!!
Tangu nakua nilikuwa na malengo ya kuwa na watoto wanne kila mmoja akiwa na mama take, lengo limefikia na hata kupita maana sasa kuna watoto watatu na mimba mbili. Nimeona njia sahihi ya kuzuia kuendelea kupata watoto zaidi ni mm kufunga kizazi. Nahitaj namna sahihi ya kufanya ivyo bila kuadhiri uwezo wangu Wa kusex na nguvu za kiume. Nipo tayar kulipa gharama yeyote kwenye hospital yeyote hapa Afrika Mashariki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaomba nn Mkuu? Mi nilizaliwa kwa style hii , kwa sababu hiyo nilianza kupambana sana na maisha tangu utoto had sasa naona mwanga kwa iyo nataka watoto wangu wawe ivyo pia.sawa mtani fanya hima ila mkuu sababu ya kuzaa watoto na wanawake wengi unaweza sema labda ni nzuri.. me naua watoto hubeba damu ya baba .... ingekuwa mwanamke ningesema anabahatisha kupata damu tofauti tofauti mkuu kama hutajali naomba
sawa mkuu .. nilikuwa nataka kujua sababu ya wee kuzaa na wanawake wengiUnaomba nn Mkuu? Mi nilizaliwa kwa style hii , kwa sababu hiyo nilianza kupambana sana na maisha tangu utoto had sasa naona mwanga kwa iyo nataka watoto wangu wawe ivyo pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu pia hawa watoto malez yao ni magumu kidogo so wananipa changamoto ya kupambana. Mm nikati ya watu wenye iman kwamba usipokuwa na changamoto huwez kuwa mpambanaji halisi yan , I don't want to put myself in comfort zone,sawa mkuu .. nilikuwa nataka kujua sababu ya wee kuzaa na wanawake wengi
nimekuelewa mkuuAlafu pia hawa watoto malez yao ni magumu kidogo so wananipa changamoto ya kupambana. Mm nikati ya watu wenye iman kwamba usipokuwa na changamoto huwez kuwa mpambanaji halisi yan , I don't want to put myself in comfort zone,
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuelewa mkuu
kama anaona zinamtisha changamoto basi atulie tu aiseeUmemuelewaje rafiki? Kama anapenda changamoto aendelee kubaki kidume ili aendelee kuvuka malengo. Akifunga uzazi si atapunguza changamoto?
Ipi mkuu, sio kila unapokojoa ni mbeguKukojoa mbegu kuna raha yake bhana