Nimefikia lengo njia zipi hutumika kufunga kizazi kwa nwanaume na zina madhara gani?

samahani mkuu kwa hiyo unataka kufunga kizazi usipate tena mtoto lakini uendelee kufanya ngono na wanawake tofauti ? au kuna mwanamke kati ya hao utaishi naye ? sababu naona kama unazuia mimba ila ujafikiria upande wa magonjwa ya kizembe
 
Reactions: J33
Mkuu njia nzuri na isiyokuwa na madhara ni kumwaga nje wakati wa tendo la ndoa! Hii njia ni nzuri sana ingawa ni ngumu kidogo kuitumia na inahitaji ushirikiano wako na mkeo/mpenzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: J33
Bado ongeza ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We funga tu hicho kizazi halaf mwisho wa siku unakuja kugundu kati ya hao wanao ni mmoja tu ndio damu yako

Hapo ndo utaelewa maana ya usemi wa PAMBANA NA HALI YAKO
 
samahani mkuu kwa hiyo unataka kufunga kizazi usipate tena mtoto lakini uendelee kufanya ngono na wanawake tofauti ? au kuna mwanamke kati ya hao utaishi naye ? sababu naona kama unazuia mimba ila ujafikiria upande wa magonjwa ya kizembe
Kati ya hao wanawake mmoja mwenye mtoto Wa tatu ni mke wangu Wa ndoa, kilichonifanya kuanzisha thread hii asubuh asubuh ni kwakuwa ameniambia tayar ana ujauzito na sikutaka kuzaa naye tena niliyeplan kuzaa naye mtoto Wa NNE tayar ana mimba anajifungua katikati ya mwez ujao. Kuhusu magonjwa mtan wangu usijali najua namna ya kujikinga na najua hawa watoto wanahitaj malez yangu kwa hali na Mali na afya ndio mtaji namba Moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu njia nzuri na isiyokuwa na madhara ni kumwaga nje wakati wa tendo la ndoa! Hii njia ni nzuri sana ingawa ni ngumu kidogo kuitumia na inahitaji ushirikiano wako na mkeo/mpenzi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu sana hii nimeshindwa madhara take kwangu nikiwa hata nikifanya kwa muda gan ham haiishi hadi nimwage mulemule Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mtani fanya hima ila mkuu sababu ya kuzaa watoto na wanawake wengi unaweza sema labda ni nzuri.. me naua watoto hubeba damu ya baba .... ingekuwa mwanamke ningesema anabahatisha kupata damu tofauti tofauti mkuu kama hutajali naomba
 
Reactions: J33
Mh! kaka kweli una nyota ya jogoo kama sio beberu. Ila nadhani lengo lako halijakaa sawa coz usimamizi wa hao watoto utakuwa ni wa kusuasua. Hao wanawake ulikuwa unaolea na mizimu ya familia yenu?
 
Reactions: J33
sawa mtani fanya hima ila mkuu sababu ya kuzaa watoto na wanawake wengi unaweza sema labda ni nzuri.. me naua watoto hubeba damu ya baba .... ingekuwa mwanamke ningesema anabahatisha kupata damu tofauti tofauti mkuu kama hutajali naomba
Unaomba nn Mkuu? Mi nilizaliwa kwa style hii , kwa sababu hiyo nilianza kupambana sana na maisha tangu utoto had sasa naona mwanga kwa iyo nataka watoto wangu wawe ivyo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaomba nn Mkuu? Mi nilizaliwa kwa style hii , kwa sababu hiyo nilianza kupambana sana na maisha tangu utoto had sasa naona mwanga kwa iyo nataka watoto wangu wawe ivyo pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
sawa mkuu .. nilikuwa nataka kujua sababu ya wee kuzaa na wanawake wengi
 
Reactions: J33
sawa mkuu .. nilikuwa nataka kujua sababu ya wee kuzaa na wanawake wengi
Alafu pia hawa watoto malez yao ni magumu kidogo so wananipa changamoto ya kupambana. Mm nikati ya watu wenye iman kwamba usipokuwa na changamoto huwez kuwa mpambanaji halisi yan , I don't want to put myself in comfort zone,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…