Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Hizo mwembwe we ni muhaya wasukuma hawa wa kubana matumizi ulale kwa hoteli 2 months? kila la heri bahna mi weusi mangala umenikosesha njiwa "
 
Wa mikoani tupite vile[emoji151][emoji151]
 
Unanisaidia kuendesha maisha ya kila siku, kusaidia ndugu zangu na kuchangia pato la taifa kupitia kodi mbalimbali.

ukiwemo na wewe akuPM mana umecomment[emoji38]

 
kwa mtazamo wa huyo nadhani ni dada sikosei maana ameandika gazeti ukurasa mzima ila naona yuposerious ningekuwa sina yule muraaa aisee ningejipeke kwa huyu hahahahaaaaaa
Hebu tafuta neno "kuolewa" kwenye post yangu! ukipata niPM nikutumie zawadi.
 
nj
oo in boc tulonge
 
 
Huo uchiz aisee umekosa wanawake huko uliko mpaka kwenye mitandao shenz type unajidharrsha tyu..
Wadada kama nyie kwetu mnanyongwaaa. Kuna factors nyingi.Hata Hapa Ni sehemu ndo mana JF wakaweka jukwaa hili.Kama hayupo interested why opening this page Go to hell and get lost!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…