Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Hahaaaaaaa ipake rangi iwe nyeupe, yani huyo kilazer ndo ameanza kuku command huko pm na hamjakutana hata siku moja, hyo si shida be a real man acha kushikiwa akili wewe.Dah inaonekana una roho mbaya sana dada yangu.
...tangu mwanzo nimekwambia utani huuwezi. unanifukuzia watu tu hapa...yaani tayari kwa akili yako unaona nimeshapata mtu PM sio?Hahaaaaaaa ipake rangi iwe nyeupe, yani huyo kilazer ndo ameanza kuku command huko pm na hamjakutana hata siku moja, hyo si shida be a real man acha kushikiwa akili wewe.
Utani naujua ila unavosema nakufukuzia ua wrong kabisa wewe siumesema mubebe wako hataki siasa, jichunguze!!...tangu mwanzo nimekwambia utani huuwezi. unanifukuzia watu tu hapa...yaani tayari kwa akili yako unaona nimeshapata mtu PM sio?
HahahahahahahahahAliyenifata PM hapendi siasa. Please heshimu maamuzi yake, hataki comment za siasa kwenye huu uzi maana tunampango wa kuuchapishia Journal...sasa haitapendeza ikiwa na comment za siasa. it should be all about Looove.
Diva msukuma tunamchafulia uziYani ni hatari ukiona wenzako wanakamatwa ukachekelea ujue nawe IPO cku this time no one is safe labda sijui awe deshi deshi tu. Wema na kutukana kote kipindi cha campaign ndani kalala vzuri tu.
Aisee msukuma msomiiAliyenifata PM hapendi siasa. Please heshimu maamuzi yake, hataki comment za siasa kwenye huu uzi maana tunampango wa kuuchapishia Journal...sasa haitapendeza ikiwa na comment za siasa. it should be all about Looove.
Okay, kila la kheri nkoyi!Ni kampuni imelipa gharama kwa ajili ya kazi niliyotumwa huku Dar, hivyo nimepapenda na ndio nataka nikamilishe na swala la kuoa huku huku. Asante.
Mkuu, ni kheri uendelee kusikiliza huo wimbo. Ya wasukuma waachie wasukuma. Japo comment yako inaweza ikawa imechochewa na kilevi, kwahiyo nachagua Tiki, yaani Kukupuuza.Nipo Bar Hapa nakunywa Uku Nasikiliza Kwa Mbaliii....ule Mwimbo wa Always On ma maid namkumbuka Mkee wangu Kipenzi Nyumbani.Najiuliza inakuaje Mtu kama uyu Msukuma anatafuta Demu kwenye Mtandao serious kiasi hiki
hujapata tuHaya sasa naona mmelala. Afadhali nimepumua mwee. Sasa ni nafasi yako ewe Mke mwema kuja PM. Asante.
Tuna changamsha genge tu hukuDiva msukuma tunamchafulia uzi
Haaaaa haaaHuyo anataka mwanamke wakuwa naye hapo hotelini na ndoa itaishia hapo
Acheni kupotosha.Haaaaa haaa
mimi hata sikutaki tenaNawaenjoy tu. Wao si wanaleta fujo apa. Hawajui tunampango wa kutengenezea Journal hii thread tuwe tunajisomea changamoto, vikwazo, milima na mabonde tuliyowekewa (yaani negative comments) lakini tukashinda🙂
[emoji1] [emoji1] [emoji1]mimi hata sikutaki tena
Hueleweki [emoji1] [emoji1]Nawaenjoy tu. Wao si wanaleta fujo apa. Hawajui tunampango wa kutengenezea Journal hii thread tuwe tunajisomea changamoto, vikwazo, milima na mabonde tuliyowekewa (yaani negative comments) lakini tukashinda🙂
Be first to reply..msukuma unatutega hivihivi sio? njoo ukae kwangu hadi upate nyumba tuanzie hapo kwanza ndoa itajiseti tu yenyewe