Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze

Dah inaonekana una roho mbaya sana dada yangu.
Hahaaaaaaa ipake rangi iwe nyeupe, yani huyo kilazer ndo ameanza kuku command huko pm na hamjakutana hata siku moja, hyo si shida be a real man acha kushikiwa akili wewe.
 
Ndoa Ndoano....................................usije ukavuliwa na ndoano.....................
 
Hahaaaaaaa ipake rangi iwe nyeupe, yani huyo kilazer ndo ameanza kuku command huko pm na hamjakutana hata siku moja, hyo si shida be a real man acha kushikiwa akili wewe.
...tangu mwanzo nimekwambia utani huuwezi. unanifukuzia watu tu hapa...yaani tayari kwa akili yako unaona nimeshapata mtu PM sio?
 
...tangu mwanzo nimekwambia utani huuwezi. unanifukuzia watu tu hapa...yaani tayari kwa akili yako unaona nimeshapata mtu PM sio?
Utani naujua ila unavosema nakufukuzia ua wrong kabisa wewe siumesema mubebe wako hataki siasa, jichunguze!!
 
Aliyenifata PM hapendi siasa. Please heshimu maamuzi yake, hataki comment za siasa kwenye huu uzi maana tunampango wa kuuchapishia Journal...sasa haitapendeza ikiwa na comment za siasa. it should be all about Looove.
Hahahahahahahahah
 
Aisee msukuma msomii
 
Unaposema Binti/mwanamke unamaanisha nini? Hata mwanamke wa miaka 50 upo radhi kumuoa bila kujali alipata kuolewa huko nyuma (nieleweke vizuri hapa) au laa!
 
Nipo Bar Hapa nakunywa Uku Nasikiliza Kwa Mbaliii....ule Mwimbo wa Always On ma maid namkumbuka Mkee wangu Kipenzi Nyumbani.Najiuliza inakuaje Mtu kama uyu Msukuma anatafuta mkee kwenye Mtandao serious kiasi hiki
 
Nipo Bar Hapa nakunywa Uku Nasikiliza Kwa Mbaliii....ule Mwimbo wa Always On ma maid namkumbuka Mkee wangu Kipenzi Nyumbani.Najiuliza inakuaje Mtu kama uyu Msukuma anatafuta Demu kwenye Mtandao serious kiasi hiki
Mkuu, ni kheri uendelee kusikiliza huo wimbo. Ya wasukuma waachie wasukuma. Japo comment yako inaweza ikawa imechochewa na kilevi, kwahiyo nachagua Tiki, yaani Kukupuuza.
 
Nawaenjoy tu. Wao si wanaleta fujo apa. Hawajui tunampango wa kutengenezea Journal hii thread tuwe tunajisomea changamoto, vikwazo, milima na mabonde tuliyowekewa (yaani negative comments) lakini tukashinda🙂
mimi hata sikutaki tena
 
Nawaenjoy tu. Wao si wanaleta fujo apa. Hawajui tunampango wa kutengenezea Journal hii thread tuwe tunajisomea changamoto, vikwazo, milima na mabonde tuliyowekewa (yaani negative comments) lakini tukashinda🙂
Hueleweki [emoji1] [emoji1]
 
msukuma unatutega hivihivi sio? njoo ukae kwangu hadi upate nyumba tuanzie hapo kwanza ndoa itajiseti tu yenyewe
Be first to reply..

Hizi post nisingekuta Miss Natafuta kawa wa kwanza kureply ningestajabu
 
Back
Top Bottom