Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Chuma inabidi kukinyanyua ujue kina uzito gani na wewe una uzito upi. Vinaendana na uzito wa mtu, si kujibebea kiholela.

Kuliko gharama hiyo ya kujua uzito wako, kujua uzito wa chuma. Bora pushapu na kuzingatia mlo
Hakika mkuu naunga hoja
 
Ndio anafanyaje mkuu.
 
sure, kaka nilikua napiga push ups 12
kwanza roundya kwanza alafu narudia tena 12 round ya pili alafu narudia round ya tatu ndo mwisho, alafu naweka migu juu mikono chini nazo napiga 12 kwa round tatu, alafu mikono juu miguu chini nazo 12 round tatu. nikitoka hapo na tetemeka misuli inakaza yani maximum nilikua naishia siku 4 au tano ila changes kubwa na aim ya tizi ni week ufike na nilikua sifikishi.
 
kweli kabisa, nakumbuka wakati naanza push hata moja nilikua siwezi ila siku nikafika 50 sikuamini yani. umenipa mzuka nianze kuruda mazoezi
 
Jipe moyo tu, mazoez muhim sana
 
kweli kabisa, nakumbuka wakati naanza push hata moja nilikua siwezi ila siku nikafika 50 sikuamini yani. umenipa mzuka nianze kuruda mazoezi
Tukomae baba, mazoez raha sana yakishaingia damuni
 
siwezi kulala bila kupiga pushp 250 napiga hamsini hamsini mpaka nafika250 yaani ukiniona nilivyo jaa huwezi amini kama ni push`p tu ila ya hitaji moyo na uvumilivu ili upate matokeo mazuri
 
siwezi kulala bila kupiga pushp 250 napiga hamsini hamsini mpaka nafika250 yaani ukiniona nilivyo jaa huwezi amini kama ni push`p tu ila ya hitaji moyo na uvumilivu ili upate matokeo mazuri

Mkuu we noma, unaenda 50,,,

Vp skwash
 
siwezi kulala bila kupiga pushp 250 napiga hamsini hamsini mpaka nafika250 yaani ukiniona nilivyo jaa huwezi amini kama ni push`p tu ila ya hitaji moyo na uvumilivu ili upate matokeo mazuri
Mkuu unapga push up tu? Au na mengineyo?
 
we jamaa kama tulikuwa kambi moja jkt iv 2014 combania B kambi unaijua mwenyewe teh teh mambosasa wa demo
 
natumaini boma liko safi ile mbaya, labda na kabustani kadogo, bila kusahau zile ulizokuwa unawapa bure bure zinatunisha mfuko wa kibubu...safi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…