Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

tupo pamoja mkuu...japo mimi nilianza muda kidogo(takribani miezi miwili iliyopita)
 
Watu wanafel sana,kuamin mazoez mpaka ukimbie weeee, unyanyue vitu vizito as if unajiandaa na mashindano ya Olympic ..

Mazoezi ni Afya, fanya mazoez kuweka sawa misuli ,akili, mifupa na mwili ktk mazingira sahihi.

Binafsi Mazoez madogo ndo nafanya, and mwili uko vzuri kabisaaa !!
 
Ndiyo mkuu iwe kama ndo ratiba ya kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…