Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Mwili uko strong [emoji16]
Mimi nina miaka takribani 8 nimeacha vyuma vizito, ninanyanyua mwili wangu (mazoezi ya nyumbani) na kukimbia uwanjani. So inawezekana na ninahisi (sina uhakika kisayansi) mazoezi haya ni safe kuliko ya nondo.

Kwahiyo inawezekana.

Ila mkuu nina swali moja, kuna kipindi ulikuwa unalalamika kwamba unafanya mazoezi halafu unaacha, je ulipata solution?
 
Back
Top Bottom