Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Sawa mkuu. Nashukuru kwa ushauri, lakini hawa wala bwimbi wanasumbua sana kule uswazi. Wanaiba mapipa ya taka, wanaiba ndoo za kuogea na ukianika suruali yako iliyo toboka na vilaka wanakomba pia. Sasa hii push up na squatting itaishia kwao [emoji23]
[emoji16] [emoji16]
 
Nilitaka kukwambia inawezelana jamaa yuko nchi nyingine ambako huko ni asubuhi au jioni, ila nilipoona manzese nikajisemea sidhani kama kuna manzese sehemu nyingine mbali na Tz.
[emoji16] [emoji16]
 
Nilitaka kukwambia inawezelana jamaa yuko nchi nyingine ambako huko ni asubuhi au jioni, ila nilipoona manzese nikajisemea sidhani kama kuna manzese sehemu nyingine mbali na Tz.
Karibu manzese kwetu mkuu[emoji3]
Ata pipa la taka wanaiba, basi balaa tupu. Leo kibatari changu kimejaa mafuta ndiyo maana nachat bila wasi. Karibu sana uswazi manzese kwetu, mgeni hafukuzwi huku utakimbia mwenyewe! [emoji23]
 
aise upo vzr Me 20 to 50 asbh na jioni zinanitosha pia napiga kata tumbo 20 to 30 kwa sk asbh na jion mwl saiv upo imara
Mkuu hongera, ila ongeza na trycept na sqwash
 
Karibu manzese kwetu mkuu[emoji3]
Ata pipa la taka wanaiba, basi balaa tupu. Leo kibatari changu kimejaa mafuta ndiyo maana nachat bila wasi. Karibu sana uswazi manzese kwetu, mgeni hafukuzwi huku utakimbia mwenyewe! [emoji23]
Nisha kaa hapo miaka ya nyuma pale karibu na stand ya ndizi, miaka ya 1997,
 
Wakuu karibuni ndo namaliza zoezi hivi punde tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…