1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #121
[emoji16] [emoji16]Sawa mkuu. Nashukuru kwa ushauri, lakini hawa wala bwimbi wanasumbua sana kule uswazi. Wanaiba mapipa ya taka, wanaiba ndoo za kuogea na ukianika suruali yako iliyo toboka na vilaka wanakomba pia. Sasa hii push up na squatting itaishia kwao [emoji23]