Nimefikisha miezi miwili ya kufanya mazoezi bila kutumia vyuma vizito, nafanyia home tu

Inawezekana ila kaweka na fiks kidogo, kupiga hii show ya 1200 alafu btn reps ni 5-10 sec, even the fittest modafanta will have his ass sweating!
Braza cheki na time alioweka, me napiga zoezi na mnyamwezi mmoja anaitwa Shawn Tee ana program yake inaitwa Insanity. Hio ni cardio exercises tu hamna kubeba uzito wa ziada ni mwili wako tu unakupa resistance. Ukiifanya bila a kuzembea ndani ya siku 60 unakuwa ushapata beachbody, umekata haswaa ila mi nafanya kitozi tu!

Kwa nusu saa uongo labda uwe na pumzi ya chui.
 
Push up round 10@ reps20
Squat round 10@ reps 20
Squat left leg round 10@ reps20
Squat right leg round 10@ reps20
Trycep round 10@ reps20
Kukata tumbo 10@ reps20

= reps 1200

1 hour
maybe unipe mwanga unaposema reps 20 manaake ni nini? Kwamba unapiga pushup 20 mara kumi ama?
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
maybe unipe mwanga unaposema reps 20 manaake ni nini? Kwamba unapiga pushup 20 mara kumi ama?
20 reps ni zile up and down, kubonyea na kunyanyua ukiwa pale chini, naenda 20 nanyanyuka nakula pozi sec 3-10,,
 
mimi nilikua na tizi langu nilikua nikifanya week moja changes kubwa zina tokea saana ila tatizo ni ngumu na week nilikua si malizi ila changes naziona, sema kwa sasa nimekua mzembe na mzito saana hata push 30 ni mziki wakati zamani non stop napiga 50 bila kupumzika.
 
Vyuma hapana tulishaacha uko,,

Beba mwili wako tu mkuu kiafya
Pushapu ndo mpango mzima, ukimaliza unajenga miguu na tumbo kwisha kazi. Kujaa kwa mwili ni impact ya chakula bora unachokula, mazoezi husaidia kuuweka mwili katika mpangilio mzuri tu.

Hivyo hata pushapu zinafaa kuuweka mwili kwa mpangilio mzuri, ukitumia uzito wako mwenyewe kuliko wa chuma.
 
Hakika mzee baba,, haya mavyuma mm hapana, mi nabeba mwili wangu tu[emoji16]
 
Mkuu fanya fasta urudie haya mazoez
 
Nlikuwa kama wewe nlianza taratibu lakini sasa , nna uwezo wa kwenda push up nying zaidi

Weka dhamira
 
Hakika mzee baba,, haya mavyuma mm hapana, mi nabeba mwili wangu tu[emoji16]
Chuma inabidi kukinyanyua ujue kina uzito gani na wewe una uzito upi. Vinaendana na uzito wa mtu, si kujibebea kiholela.

Kuliko gharama hiyo ya kujua uzito wako, kujua uzito wa chuma. Bora pushapu na kuzingatia mlo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…