1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
- Thread starter
- #161
Kwa nn mkuu, mm mwenzio nlianza na push tano tano[emoji16]duh sio mchezo nilikua nataka kuanza nimesha kata tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nn mkuu, mm mwenzio nlianza na push tano tano[emoji16]duh sio mchezo nilikua nataka kuanza nimesha kata tamaa
Ila napenda masikini[emoji24]Kwa kuwa KE ndo maana,, ila so mbaya hata ivo unajitahidi, warembo wengi push up kwao mtihani
Braza cheki na time alioweka, me napiga zoezi na mnyamwezi mmoja anaitwa Shawn Tee ana program yake inaitwa Insanity. Hio ni cardio exercises tu hamna kubeba uzito wa ziada ni mwili wako tu unakupa resistance. Ukiifanya bila a kuzembea ndani ya siku 60 unakuwa ushapata beachbody, umekata haswaa ila mi nafanya kitozi tu!Inawezekana ila kaweka na fiks kidogo, kupiga hii show ya 1200 alafu btn reps ni 5-10 sec, even the fittest modafanta will have his ass sweating!
maybe unipe mwanga unaposema reps 20 manaake ni nini? Kwamba unapiga pushup 20 mara kumi ama?Push up round 10@ reps20
Squat round 10@ reps 20
Squat left leg round 10@ reps20
Squat right leg round 10@ reps20
Trycep round 10@ reps20
Kukata tumbo 10@ reps20
= reps 1200
1 hour
Slow slow utawezaIla napenda masikini[emoji24]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Braza cheki na time alioweka, me napiga zoezi na mnyamwezi mmoja anaitwa Shawn Tee ana program yake inaitwa Insanity. Hio ni cardio exercises tu hamna kubeba uzito wa ziada ni mwili wako tu unakupa resistance. Ukiifanya bila a kuzembea ndani ya siku 60 unakuwa ushapata beachbody, umekata haswaa ila mi nafanya kitozi tu!
Kwa nusu saa uongo labda uwe na pumzi ya chui.
20 reps ni zile up and down, kubonyea na kunyanyua ukiwa pale chini, naenda 20 nanyanyuka nakula pozi sec 3-10,,maybe unipe mwanga unaposema reps 20 manaake ni nini? Kwamba unapiga pushup 20 mara kumi ama?
Hizo mimi napiga kila siku na kutembea km 5 kila siku nakunywa maji Lita 4 kila siku.20 reps ni zile up and down, kubonyea na kunyanyua ukiwa pale chini, naenda 20 nanyanyuka nakula pozi sec 3-10,,
Oooh good boy[emoji1] [emoji16]Hizo mimi napiga kila siku na kutembea km 5 kila siku nakunywa maji Lita 4 kila siku.
Anza ndugu yanguOooh good boy[emoji1] [emoji16]
Safii mkuu, mi kukimbia bado aiseeeh
Vyuma mi hapana, hiyo cardio maelezo mkuu,Vyuma ndo mpango,nondo+cardio
Nlikuwa nakimbia umbali flani ila nlikuwa napungua mno,,Anza ndugu yangu
Naanza na kuruka kamba kwanza nikiwa poa, naingia road,,Anza ndugu yangu
Pushapu ndo mpango mzima, ukimaliza unajenga miguu na tumbo kwisha kazi. Kujaa kwa mwili ni impact ya chakula bora unachokula, mazoezi husaidia kuuweka mwili katika mpangilio mzuri tu.Vyuma hapana tulishaacha uko,,
Beba mwili wako tu mkuu kiafya
Hakika mzee baba,, haya mavyuma mm hapana, mi nabeba mwili wangu tu[emoji16]Pushapu ndo mpango mzima, ukimaliza unajenga miguu na tumbo kwisha kazi. Kujaa kwa mwili ni impact ya chakula bora unachokula, mazoezi husaidia kuuweka mwili katika mpangilio mzuri tu.
Hivyo hata pushapu zinafaa kuuweka mwili kwa mpangilio mzuri, ukitumia uzito wako mwenyewe kuliko wa chuma.
Mkuu fanya fasta urudie haya mazoezmimi nilikua na tizi langu nilikua nikifanya week moja changes kubwa zina tokea saana ila tatizo ni ngumu na week nilikua si malizi ila changes naziona, sema kwa sasa nimekua mzembe na mzito saana hata push 30 ni mziki wakati zamani non stop napiga 50 bila kupumzika.
Nlikuwa kama wewe nlianza taratibu lakini sasa , nna uwezo wa kwenda push up nying zaidimimi nilikua na tizi langu nilikua nikifanya week moja changes kubwa zina tokea saana ila tatizo ni ngumu na week nilikua si malizi ila changes naziona, sema kwa sasa nimekua mzembe na mzito saana hata push 30 ni mziki wakati zamani non stop napiga 50 bila kupumzika.
Chuma inabidi kukinyanyua ujue kina uzito gani na wewe una uzito upi. Vinaendana na uzito wa mtu, si kujibebea kiholela.Hakika mzee baba,, haya mavyuma mm hapana, mi nabeba mwili wangu tu[emoji16]