Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tatizo sio zoezi tatizo ni chakula.blaza mimi nikipiga zoezi nanenepaa
Mie msosi wangu huu huu wa kimatumbi blazaWewe tatizo sio zoezi tatizo ni chakula.
Ukifanya mazoezi kama ni mlafi utaongezeka mara mbili.
Solution piga tizi alafu control unachokula..
Aiseeh kumbe ndo ninaye mcopy daily,,Nilianza zoezi 2015, mazoezi mazuri sana hasa kwa wanaume,
siamini booster yoyote zaidi ya zoezi
kuna jamaa Youtube anaitwa Chris Heria kwa sasa namfuatilia sana clip zake.
Nenda youtube mcheki hyu mtu anaitwa CHRIS HERIAKama You tube weka link tuu.
Weight nlikuwa mfuasi long time ago,, ila siku hizi nataka mwili simple,,Piga weight mkuu! hayo mengine huwa ni starter tu! Unapiga hayo unamalizia na weight lifting, matokeo yake ni mara kumi zaidi ya mazoezi bila weight lifting! Ke ndo hawashauriwi kubeba weight! Najua unaogopa maumivu, no pain no gain!
Ahahah hauna maana hata nini ule mwili.Weight nlikuwa mfuasi long time ago,, ila siku hizi nataka mwili simple,,
Ule mwili wa juu unakuwa mpana chini spoku hapana,
Unakulaje mkuu?Mie msosi wangu huu huu wa kimatumbi blaza
Nikipiga tizi naskia njaa ajabu aseeUnakulaje mkuu?
Lazima upunguze kula pale unapofanya mazoezi.
La sivyoo utakuja kuongezeka zaidi ya mwanzo
Eeeh ndo ivo mzee ila baadae unazoeaNikipiga tizi naskia njaa ajabu asee
Mkuu jamaa ni noma workout zake ni hatari kama anavyosema no equipment needed, naikubali ile build body weight.... bila kisahau brand yake THENIXNenda youtube mcheki hyu mtu anaitwa CHRIS HERIA
Mkuu huyu jamaa nilipiga workout moja ya leg aisee ni siku mbili tu nikaanza kuona misuli inajaa kwenye mapaja, nikaamini hapa NO EQUIPMENT NEEDED, anashauri aina ya vyakula vya kutumia.Aiseeh kumbe ndo ninaye mcopy daily,,
Aiseeh hata mm nakiri huyu jamaa ana tips za uhakika,, mm mwenyewe ndiye ninamfatilia sanaaaaa
Yaani nile nisishibe hivi kuta kucha kweli blaza?Wewe tatizo sio zoezi tatizo ni chakula.
Ukifanya mazoezi kama ni mlafi utaongezeka mara mbili.
Solution piga tizi alafu control unachokula..
Simchezo duuuhEeeh ndo ivo mzee ila baadae unazoea
Unashibaje wewe mwanaume..Yaani nile nisishibe hivi kuta kucha kweli blaza?