Safi sanaaa, bila shaka umeona faida zakeHapa penyewe niko nakula Zoezi
Mi nondo hapana, mwili wangu umeshakatika kipind hicho nakula gym wayback 2003Siwezi kukazana tu kukimbia bila nondo. Naruka kamba mchanganyiko na kichura dakika 20. Napiga nondo,nikiwa mbali na home push up 200. Tumbo 100. Saa nzima imekatika,nimemaliza. Nondo lazima
Ndiyo mkuu
OkMi nimejitahid sinywi soda [emoji3047]
Faida ni nyingi sanaaa,
Nasisitiza fanyeni mazOezi,
Ndio jitihada hiyo, you're not serious.Mi nimejitahid sinywi soda 🥤
Huwa nafanya hivi. Nikigonga sana nondo,nikiona nimekatika sana hasa chest,napunguza kwa kubadiri mazoezi ya nondo. Naanza kupiga push up ndogo ndogoMi nondo hapana, mwili wangu umeshakatika kipind hicho nakula gym wayback 2003
Mazoezi ya hizo picha zote tatu?au mtu anachagua picha mojawapo ndo anafanyia mazoezi husikaJaribuni hayo walau kila siku walau raundi tatu.View attachment 1155030View attachment 1155031View attachment 1155033
Ndiyo mkuuHongera. Ngoja tukazane
Kwa afya tu mkuuNi kweli tunajua moja ya faida ya Mazoezi ni hasa Kukomaa kwa Kujengeka vyema Kimwili ili Usiku au Alfajiri uwavizie Watu Vichochoroni ili uwakabe na wakishakabika vyema basi ama wakupe unavyovihitaji au uvichomoe mwenyewe tu.
Mm nondo nikigusa natembea kibaunsa mno,, yaaanHuwa nafanya hivi. Nikigonga sana nondo,nikiona nimekatika sana hasa chest,napunguza kwa kubadiri mazoezi ya nondo. Naanza kupiga push up ndogo ndogo
Kama unaanza ni bora ukachagua baadhi, tena yale mepesi mepesi,,Mazoezi ya hizo picha zote tatu?au mtu anachagua picha mojawapo ndo anafanyia mazoezi husika
kweli mkuu vyuma ni kujionesha na taatizo la vyuma ni kwamba ukiacha kuiniua tuu ndaini ya mwezi unaporomoka ila mazoezi ya kawaida unabaki katika hali ya kawaidaFaida ni nyingi sanaaa,
Nasisitiza fanyeni mazOezi,
Safi mkuu endelea ivo ivoShida ipo kwa sisi mabonge na vifridge.mimi huwa nafanya ya kutembea kwa kasi nikiwa naends job mana ni 1.5km.ila kuja jamaa alikuja kuniambia kuwa hakuna mazoezi ya kutembea,sijui kuna uhalisia.Ila kwangu yamenisaidia nmepunguza uzito nmekuwa kibonge mwepesi
Hakika mkuu, umenenakweli mkuu vyuma ni kujionesha na taatizo la vyuma ni kwamba ukiacha kuiniua tuu ndaini ya mwezi unaporomoka ila mazoezi ya kawaida unabaki katika hali ya kawaida
Max ameshinda tuzo ya kutetea haki za binadamu.hii avatar yako inasababisha Musiba anamuandama Maxence