Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Siwezi kukazana tu kukimbia bila nondo. Naruka kamba mchanganyiko na kichura dakika 20. Napiga nondo,nikiwa mbali na home push up 200. Tumbo 100. Saa nzima imekatika,nimemaliza. Nondo lazima
Mi nondo hapana, mwili wangu umeshakatika kipind hicho nakula gym wayback 2003
 
Mi nondo hapana, mwili wangu umeshakatika kipind hicho nakula gym wayback 2003
Huwa nafanya hivi. Nikigonga sana nondo,nikiona nimekatika sana hasa chest,napunguza kwa kubadiri mazoezi ya nondo. Naanza kupiga push up ndogo ndogo
 
Ni kweli tunajua moja ya faida ya Mazoezi ni hasa Kukomaa kwa Kujengeka vyema Kimwili ili Usiku au Alfajiri uwavizie Watu Vichochoroni ili uwakabe na wakishakabika vyema basi ama wakupe unavyovihitaji au uvichomoe mwenyewe tu.
Kwa afya tu mkuu
 
Huwa nafanya hivi. Nikigonga sana nondo,nikiona nimekatika sana hasa chest,napunguza kwa kubadiri mazoezi ya nondo. Naanza kupiga push up ndogo ndogo
Mm nondo nikigusa natembea kibaunsa mno,, yaaan

Safi lakini,, shida ya vyuma ukiacha tu mwili hupotea,, ila kwa wewe uko poa maana unachanganya na push up,

Good Swet-R
 
Mazoezi ya hizo picha zote tatu?au mtu anachagua picha mojawapo ndo anafanyia mazoezi husika
Kama unaanza ni bora ukachagua baadhi, tena yale mepesi mepesi,,

Mwili ukishazoea utakua unaongeza taratibu taratibu
 
Shida ipo kwa sisi mabonge na vifridge.mimi huwa nafanya ya kutembea kwa kasi nikiwa naends job mana ni 1.5km.ila kuja jamaa alikuja kuniambia kuwa hakuna mazoezi ya kutembea,sijui kuna uhalisia.Ila kwangu yamenisaidia nmepunguza uzito nmekuwa kibonge mwepesi
 
Safi mkuu endelea ivo ivo
 
Back
Top Bottom