Nimefikisha mwaka 1 kwa kufanya mazOezi bila kunyanyua vitu vizitO,

Mazoezi ya hizo picha zote tatu?au mtu anachagua picha mojawapo ndo anafanyia mazoezi husika
Hapo unachagua moja ndio unapiga. Kwa sababu mawili ya juu kila moja ukipiga inahusisha mwili mzima.

So utachagua unapoona unaweza kati ya hizo mbili.
 
Swala anakimbia kila sku anafanya zoezi lkni aishi miaka mingi kama Kobe ambae ni mvivu anatembea polepole

Moral of the story : mazoezi sio ya lazima na hayana umuhimu ila haukatazwi kufanya
 
Swala anakimbia kila sku anafanya zoezi lkni aishi miaka mingi kama Kobe ambae ni mvivu anatembea polepole

Moral of the story : mazoezi sio ya lazima na hayana umuhimu ila haukatazwi kufanya
Uko sawa
 
Jamani mie na mazoez mbali mbali..kwnza nikikimbia mwili unawasha[emoji57]
hata mimi hali hiyo huwa inanitokea ila kama nilistop muda mrefu bila kufanya mazoez, siku nayoanza rasmi huwa hadi nawaza, yani mwili huwa unawasha sana hasa makalio, yani huwa najikuna huku naendelea kukimbia, ila mwili ukipata moto sana hali hiyo hutoweka
 


Bora useme ww..mie hapa.mapaja...najioneaga tabu sana..hata kuruka kamba mie sitak tena!nimeamua.kinishughulisha tu kwa kazi ngumi kujiweka fit..sijatepeta hata kidg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…