Nimefinywa korodani na huyu binti wa chuo

Nimefinywa korodani na huyu binti wa chuo

Poor Brain unajua pale alipokosa pumzi..si unajua uzito wa gunia la viazi🤣 sasa akawa anatapatapa hakufanya kwa makusudi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋👋
🤓🤓🤓🤓 Hii mada iishe tuu maana leo nacheka tuu toka nipofungua huu uzi...
Jamani walitaka kumuua tuu hakuna kingine kwanini ziwe korodani sio kitu kingine au ata angemng'ata basi
 
Back
Top Bottom