Nimefiwa na baba yangu mkubwa

Nimefiwa na baba yangu mkubwa

Makunga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
771
Reaction score
551
Hbr wana jf,nimepata msiba.Baba yangu mkubwa amefariki usiku wa kuamkia leo.Kwa wale wenyeji wa nzega mnaweza kuwa mnafahamu,alikuwa bwana afya ktk hospitali ya wilaya.
 
Pole sana MKUBWA.
Mungu amweke Marehemu mahala pema peponi.
Maamuzi ya Mungu hayana kuhoji.
 
Oh ma God! Rest in peace our father! Tulikupenda sana lkn Allah kampenda zaid! Nac pia 2tafuatia!
 
Pole sana mkuu! Mungu awapeni nguvu muweze kuvuka kipindi hiki!!
 
Poleni saana na Msiba.
Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema amrehemu....
 
Sote ni wa Mungu na sote tutarejea kwake, pole sana mkuu na Mungu akupe moyo wa uvumilifu na subra ktk kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana ndugu.. May his soul rest in peace.
 
Pole sana mkuu
Tunaiombea roho yake ipumzike mahali pema peponi
 
Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun. Allah awape nguvu wakati huu wa kipindi kigumu. Tumuombee marehemu apumzike kwa amani.
 
Pole sana,sifa na haki zitabaki kwake mwenyezi Mungu kwani yeye ndiye aliyetoa na ametwaa.
 
Wote tunaelekea njia hiyo. Kinachogomba ni nani anatangulia! Pole sana mkuu. Mungu na akupe moyo wa subira.
 
Poleni sana wafiwa na Mungu awazidishie imani kwenye kipindi hiki kigumu!
 
Back
Top Bottom