Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

Pole mkuu. Jina la Bwana/Allah lihimidiwe..yeye ndie amempenda zaidi!!
 
Pole sana kwa msiba wa baba Mungu amlaze mahari pema peponi
 
Pole sana ndugu... Mungu akutie nguvu kwenye hiki kipindi kigumu.
 
pole sana mkuu Mungu akupe nguvu
 
POle sana Mkuu na familia nzima. Allah awajalie nguvu za kuvumilia msiba huu mkubwa
 
Mola akupe akutie nguvu katika kipindi hiki kidugu..Pole sana!!
 
Pole ndugu yetu.Mungu akutie nguvu na imani uweze kukabili machungu ya kuondokewa na mzazi.Ni uchungu usio kifani.
Pole sana.
 
Pole sana X_Paster pamoja na familia, Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu
 
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema (peponi)ameen. Pia akupe wewe na familia yako nguvu na subira ya kuhimili kipindi hiki kigumu. Yeye ametangulia na sisi tutafuata, sote tupo njia moja.
 
raha ya milele umpe ee Bwana,
na mwanga wa milele umuangazie,
apumzike kwa amani.
Amina.
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji'un
 

...dah, pole sana mkuu.
'Inna Lillah wa inna Ilayhi Rajuun!'
 
Pole sana Mkuu X-Paster Mungu akuafu ktk kipindi hiki kigumu
 
Inna Lillh wa inna Ilayh Rajiun

Mungu awajaalie subra wafiwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…