Nimefiwa na BABA Yangu Mzazi

Pole sana XP na familia kwa ujumla. We pray for your strength and courage during this difficult period.
May his Soul rest in Eternal Peace. Amen.
 
Pole sana ndugu Mungu akupe nguvu za kuhimili kuondokewa na baba
 
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Rajiuun... Mungu amlaze marehemu pahala pema amghufirie makosa yake. Amin
 
Pole sana mkuu, BWANA YESU akutie nguvu na familia yenu yote
 
Hello kaka pole sana na msiba uliokufika hasa katika mwezi huu mgumu wa ramadhan tunachoweza kusema ni Innalillah wainalillahi rajiuun:eyebrows: mimi ni mwana JF mpya fakih Abdul Together we can alone never you'll be.............................................!
 
Poleni sana kwa msiba huu!
 
Pole sana mzee - ametangulia na sisi tupo nyuma yake
 
Pole sana, Mwenyezi Mungu awaitie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole mkubwa, Mungu aiweke roho yake mahari pema peponi AMINA!!


 
Pole mkubwa, Mungu aiweke roho yake mahari pema peponi AMINA!!



 
pole sana kwa msiba huo ndugu yangu;

Ndivyo yalivyo mapenzi yake Mungu; sote tutaitikia mwito huo.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi na akupe faraja zaidi baada ya mziba huo;
 
Pole mkuu....faraja ya Muumba iwe nawe katika majonzi!
 
Pole sana ndugu kwa msiba wa baba yako mpendwa. Tuzidi kumwombea marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…