stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Pole sana mkuu!Nimefiwa na dada yangu 25 Jun 2026
dada yangu alikuwa mfanyabiashara wa mbao buguruni Jina lake Oliva
kwa dhat nawashukuru wafanyabiashara wote wa mbao bugurun kwa upendo mmejitoa sana kufariji familia .Tunasafirisha kwenda Njombe ndio nyumban.
Mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa.
Eng James
0743257669
Inshallah! mungu akufanyie wepesi Stabilityman kwa mazito unayoyapitia Innalillah wa inna ilayh rajiyn hakika sisi wote ni wa mwenyezimungu na kwake tutarejea pole sana!Poleni sana Familia, Allah awafanyie wepesi ndugu zangu