Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

OOh pole ndugu, It's GOD who gives and takes away, blessed be his holy name, but true comfort comes from him too. tutakuombea.
 
Asanteni sawa wakuu kwa pole zenu,nashukuru pia waliokuja jana,walionipigia simu na kunitumia PM na e-mails nyie wote ni ndugu zangu wa kweli,asanteni.
 
pole sana ndugu,naomba amani nguvu na faraja itokayo kwa Mungu mwenyewe iambatane nawe,.ni wakat mgumu sana kwako bt utavuka kwani twayaweza yote katka yeye atutiae nguvu..pole sana na nikutakie alasir njema...
 
Pole sana!
Mungu amlaze mahali pema mama na apumzike kwa amani, na awape faraja katika kipindi hiki kigumu maishani!
 
Pole sana Mkuu,
RIP mama yetu.
On a lighter note(hope wewe ni mtani wangu),hivi Husninyo alikuja kuhani msiba?alivaa khanga au ndo wale wa mujini mujini black dress,mawani makubwaaaaa na anaanzia saluni kabla ya kuja msibani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…