Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

pole sana ndugu kwa kuondokewa na mama
mungu awatie nguvu ktk kipindi hiki kigum cha majonzi
RIP mama yetu
 
Pole sana Mkuu uporoto01 kwa msiba mkubwa uliokufika. Mwenyezi Mungu akupe nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu kwako na wote wanaohusika na msiba huo na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN
 
RIP! Pole sana ndugu kwa kupatw na huo msiba mkubwa. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe
 
pole sana ndugu yetu,siku zetu za kuishi hapa duniani zimehesabiwa,BWANA Mungu ametoa na kutwaa jina lake libarikiwe
 
As you comprehend this profound loss, let yourself cry knowing each tear is a note of love rising to the heavens.pole sana kwa wakati mgumu!
 
pumzika kwa amani ewe mama yake uporoto...mwanga wa milele uangaziwe
 
Back
Top Bottom