Pole sana uporoto 0 1! Natambua upo ktk wakati mgumu sana lakini uwe na Amani mkuu! Kwani hakika nakwambia ya njia pekee ya kwenda kwa BABA ndiyo hiyo,tunampenda Mama ye2 sana lakini BABA yake mwenye uweza amependa zaidi. Rest In Peace Mama!
R.I.P pole sana ndg yngu usife moyo mungu akupe nguvu hasa hiki kipindi kigumu cha msiba bwana ametoa na bwana ametwa mapenzi yake yatimizwe amina.mana hiyo ndiyo ahadi yake kuwa kila nafsi itaonja mauti.
Pole sana rafiki,Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu na utambue tu kua huko ndiko makazi yetu ya milele tumeandaliwa mimi na wewe tutakua huko siku moja kwa hyo usilie sana rafiki