Nimefiwa na Mama yangu usiku wa kuamkia 19.11.2011 na kuzika jana.

Dunia ni ndogo sana, nilikuwepo mazikoni jana, nilikuja kwa kutokea upande wa Mariam Zialor, uporoto kumbe ni mtu wangu wa Karibu sana. Tuko pamoja.
Nilikwambia zamani kuwa tutakuwa tunafahamiana baada ya kusoma watu wengi unaowaongelea.
 
Pole sana ndugu. May the comfort of God help you during this difficult time.
 
Pole sana Uporoto01. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mama mahali pema peponi. Amen!
 
Pole sana! May her soul rest in peace. Yeye ametangulia nasi tutafuata
 
inna lillah wa inna ilaihi rajiun.pole sana. Tuko pamoja nao ndugu wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote. Nalog off
 
Ooh Pole sana kwa msiba!apumzike kwa Amani na Mungu Akupe nguvu ktk wakati huu Mgumu
 
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.

YOU are not alone mkuu, tupo pamoja!!!!!!!pole sana iliyobaki ni sisi sote kumuombea mama afikie peponi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…