Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Spika pole sana. Mongu amlaze mahali pema na awajalie nguvu za kustahimili kipindi kiki kigumu. Pole mkuu
 
Poleni wote,kila jambo lina wakati wake!
 
pole sana ndugu, ningekuwa dar ningekuja kwenye mazishi naamini ntawakilishwa na ndugu wana jf kibao
 
nimepost thread mpya kuhusu yaliyonikuta muhimbili.
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Pole sana. Mwenyezi Mungu atawatia nguvu ktk kipindi hiki kigumu inshaallah. Iwe ukumbusho kwetu tuliobaki kuwa kwa Mungu ndio marejeo yetu sote.
 
MUNGU akupe nguvu wakati huu ulio mgumu kwako...kazi ya MUNGU haina makosa!
 
Mkuu pole sana, ni mapenzi ya Mungu hayo! Mungu akujalia uvumilivu na matumaini
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Pole sana Mkuu. Mungu akufariji ktk wakati huu mgumu. R.I.P mwanao
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Pole mkuu, Bwana alitoa na Bwana ametwaa, lihimidiwe jina lake, AMEN
 
poleni. Bwana alitoa na sasa ametwaa.
 
Poleni sana. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
Pole sana,japo npo afar 4rm da place u mention ila naamin Allah atakuwa pamoja n roho ya marehem na atailaza mahal pema pepon! Mi n mgeni kwny hii programme ila nakuomba unibp kwny 0759947397 nikufariji! Nakutakia kla la kher!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…