Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Pole sana mkuu,hivi ndivyo inavyotakiwa mtu atangaze msiba upo wapi wanaoweza waje,nilifiwa na mama nov.2011 nikatangaza msiba upo wapi na kweli members kadha wakafika na wengine kunipigia simu,tuache woga tufahamiane.
 
RIP to your kid na Mungu akutie nguvu na kukufariji ktk kipindi hiki kigumu
 
ahsante mkuu!
Kweli watu tunatofautiana Mwenzio anakupataarifa ya msiba mzito wewe unaishia asante as if he as told you i have function tomorrow??!!kweli wewe una moyo wautashi au wewe....anyway ngoja nisitoke nje ya mada!!

 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
Mhe,Spika natoa rambirambi zangu kwakupitia huu ukurasa nakuombea mungu akupe nguvu na uweze kurudia katika hali yako ya kawaida na mungu amlaze mahali pema peponi na siku yakuwafufua waliokufa basi yeye awe upande wakulia kwa mwenye kiti cha enzi.Amen.
 
R.i.p mwanangu.,.MWENYEZI MUNGU akupe ujasiri katika wakati huu mgumu.yeye katangulia na sisi tunafuata.
 
Pole sana ndugu Spika kwa kuondokewa na mtoto.Mungu wetu mwenye rehema akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
pole sana kwa msiba mzito, la kumpotesa mtoto si jambo jema hata kidogo:A S embarassed:
 
Pole sana Spika
Mwenyezi mungu mwingi wa rehema awa[e faraja katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana kwa kuondokewa na mwanao, Mwenyezi Mungu akupe heri ktk kipindi hiki kigumu kwako na familia yako.
 
Pole sana mkuu. Mwanao apumzike kwa Amani.
 
Kweli watu tunatofautiana Mwenzio anakupataarifa ya msiba mzito wewe unaishia asante as if he as told you i have function tomorrow??!!kweli wewe una moyo wautashi au wewe....anyway ngoja nisitoke nje ya mada!!

Kakakiiza hebu soma basi vizuri! huyo anayesema asante si ndio katoa taarifa na hapa anaitika pole anazopewa! sasa aseme nini! Khaaaa!
 
Spika, pole sana...Mungu akutie nguvu wewe na familia yako katika wakati huu mgumu.
 
Ahsante sana wana JF wote mlio kua nami ktk harakati za msiba kuanzia juzi usiku mpaka leo hii asubuhi.
Shukran za pekee zimuendee PAKAJIMMY wa ARUSHA aliyethubutu kunipigia simu na kunipa pole kwa yaliyonisibu.
Jana tumezika salama ktk makaburi ya KIPUNGUNI "A" BANANA-UK.
Wana JF nataka kuanzisha tread mpya itakayo zungumzia yaliyonisibu MUHIMBILI HOSPITAL.
So naombeni mawazo yenu ili niitoe au lah???
 
Pamoja Mkuu, wengine ndio tunausoma ujumbbe saa hii, but tambua kwamba hii ni familia moja na linagusa mmojawetu linatugusa sote, uvae ujasiri katika kipindi kigumu unachopitia......
 
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!

Pole sana mkuu, tupo pamoja nawe katika hiki kipindi kigumu
 
Back
Top Bottom