Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli watu tunatofautiana Mwenzio anakupataarifa ya msiba mzito wewe unaishia asante as if he as told you i have function tomorrow??!!kweli wewe una moyo wautashi au wewe....anyway ngoja nisitoke nje ya mada!!ahsante mkuu!
Mhe,Spika natoa rambirambi zangu kwakupitia huu ukurasa nakuombea mungu akupe nguvu na uweze kurudia katika hali yako ya kawaida na mungu amlaze mahali pema peponi na siku yakuwafufua waliokufa basi yeye awe upande wakulia kwa mwenye kiti cha enzi.Amen.Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!
Pole mkubwa wangu, hayo ni mapito na tunakuombea faraja toka kwa Mungukwa atakaye kua tayari kufika apige namba hii:0713 373132/0787 474142.
Kweli watu tunatofautiana Mwenzio anakupataarifa ya msiba mzito wewe unaishia asante as if he as told you i have function tomorrow??!!kweli wewe una moyo wautashi au wewe....anyway ngoja nisitoke nje ya mada!!
Habari wana JF,nimefiwa na mtoto jana Muhimbili hospital.
Mazishi ni leo saa7 mchana,msiba upo banana ukonga!