klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Pole sana kwa kuondokewa na mwanao Spika.
Amini wote safari yetu ni moja,na jiandae pia
kuimaliza safari yako vyema ili mje kutana sehemu mtakayo
furahia na kushangilia pamoja.
Ame pumzika tu,usisikitike sana.Kuwa na imani.
Ahsante sana!pole sana sisi sote kwa mungu tutarejea,tunakuombea uwe na moyo wa subira katika kipind hiki kigum kwani kifo huwa hakizoeleki daima.