klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Dah! hii sredi imenikumbusha mbali sana., I know inauma sana aisee. Lakini ni kazi ya Mungu
Pole sana mkuu
Pole sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana kwa kuondokewa na mwanao Spika.
Amini wote safari yetu ni moja,na jiandae pia
kuimaliza safari yako vyema ili mje kutana sehemu mtakayo
furahia na kushangilia pamoja.
Ame pumzika tu,usisikitike sana.Kuwa na imani.
Ahsante sana!pole sana sisi sote kwa mungu tutarejea,tunakuombea uwe na moyo wa subira katika kipind hiki kigum kwani kifo huwa hakizoeleki daima.