Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

Hawa hawatakaa waikubali staili ya uongozi wa jiwe

1. Wale waliopotea na waliopotelewa na ndugu zao katika mazingira tata
2. Wale waliochukuliwa mali zao kidhalimu na ma-task force
3. Wale walipelekwa magerazani kwa miezi na miaka kwa kesi za kubumba
4. Walipoteza maisha katika chaguzi kama Akwilina
5. Waliopoteza biashara kama Kwanza TV na Mbowe
6. Walionyang'anywa passports kama Eyakuze
7. Waliochafuliwa wanafanya biashara za madawa na kipendwa chake Bashite
8. Waliopoteza kazi zao kwa mkono na nia ovu kama Fatma Karume
9. Wakulima Ambao hawakupewa pesa zao za korosho
10. Waliobomolewa nyumba zao Kimara
11.Wastaafu wanaopigwa na jua kutwa wakifuatilia mafao yao ya pensheni
12.Vyombo vya habari binafsi ambavyo viligeuzwa kwa nguvu kuwa state propoganda media.
13.Waliochafuliwa na Musiba pamoja na genge lake
Binafsi mama simsapoti...staili yake ya iongozi tulishawahi kua nayo ikafeli.
 
New Member, umetumwa na nani kuja humu kumsafisha huyo mwendawazimu wako? Au ndiyo wewe mwenyewe Ole Sabaya umekuja kujitetea??
mna tabia kama za ndege,makelele mengi bila lengo.

sasa hapa lengo la swali lako ilikuwa ni kugundua jambo gani???
 
mna tabia kama za ndege,makelele mengi bila lengo.

sasa hapa lengo la swali lako ilikuwa ni kugundua jambo gani???
Tulia wewe msukule. Nigundue nini sasa zaidi tu ya kufurahia namna mnavyo nyooshwa na kada mwenzenu!
 
tuliza mat,huu huo ni ugomvi wa ndugu.
Kenge usiye na mkia wewe. Huo ni ugomvi wa ndugu yupi na yupi sasa! Majambazi yanadhibitiwa, wewe unaleta upuuzi gani?

Unaandika kama umetoka kushusha gogo.
 
Binafsi mama simsapoti...staili yake ya iongozi tulishawahi kua nayo ikafeli.

Ya dhalimu iliwahi kufanikiwa? Ya huyu Nyerere ilifanikiwa? Mama hahitaji support nya mtu yoyote, yeye anapaswa atende haki basi. Haki ndio itamsupport. Kwa bahati mbaya huyo mama ni muunda tume tu, lakini hachukui hatua kwa vitisho kuwa anakiumiza chama.
 
Kenge usiye na mkia wewe. Huo ni ugomvi wa ndugu yupi na yupi sasa! Majambazi yanadhibitiwa, wewe unaleta upuuzi gani?

Unaandika kama umetoka kushusha gogo.
wewe ukitoka kushusha gogo ndio unakuwaje!!!

kama hapo ndio uko kwenye ubora wako??
 
Binafsi mama simsapoti...staili yake ya iongozi tulishawahi kua nayo ikafeli.
Mkuu we ungekua unaishi kaskazini huku ndo ungejua nguvu ya sabaya,Huyi jamaa alikuwa ni umbwaa ya wwnyewe kabisa,jamaa in mkuu Wa wilaya huko Kilimanjaro lakini alikuwa pia mkuu Wa mkoa Wa Arusha.
 
Binafsi naamini kabla ya Sabaya kuondolewa kuna maongezi yalifanyika,naye ametolewa kama mbuzi wa Eid El fitiri ili kuwafurahisha wapinzani huku Sabaya akirudishwa kwenye ile kazi yake ile.
Uchunguzi kwio, imeshaisha hiyo, atafute trekta
 
Ayathibitishe kwa ushahidi wa maandishi au simu hayo maagizo.
Nani alikuambia kumtumikia shetani kunalipa at the end ni lzm roho yako ndo inatakiwa.
Huyu Boss wako amevuna ulimi wake
 
Pole sabaya. Mambo mengine wala hayahigaji uchunguzi yako wazi kabisa. Utetezi wako hauna baraka kuanzia duniani na hata mbinguni
 
Poorest thinking
 
Kwanini usikubali tu kwamba wewe so mkuu wa wilaya tena na maisha yakaendelea pengine ungekuja kukumbukwa hata kwenye kautendaji maisha yakaendelea?
 
Nani kakwepa kodi yeye ni TRA kama aliweza andaa walevi wakachezee miundombinu kisha kawasingizia wafanyabiashara Ili awapige pesa in bashite style alivyopiga pesa kwenye vita feki ya madawa kupitia kinga ya mwendazake.Nani ataweza muamini huyu jambazi kaona zaidi ya mara 2 kwenye ccctv akiwa na bunduki hadi UN wakalalamika kutumia gari au nembo yao kwenye uhalifu.Hio usiku wa saa 8 ndo kodi inadaiwa kwa bunduki.
Huyu jambazi ilifaa awe jela sema kulindana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…