Nimefuatilia shutuma nyingi dhidi ya Sabaya zinaonesha zina ukakasi. Hongera Rais kwa kuruhusu uchunguzi juu yake

Pole Sana ,jambazi lilijitetea kwamba lilishakutolea mahari kabisa na tarehe ya harusi ilishapangwa.
Hiyo sukari yako tafuta mtu mwingine wa kumpatia.
Li mume lako lijambazi limekula mvua za kutosha na viboko juu
 
Sabaya alitengeneza mtandao wankumtetea kwenye social media. Mmoja wapo ni huyu Sukari Mine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…