peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 Nov 14, 2021 Thread starter #21 Bhuluba said: Mbona kila Rais anakuwa Madarakani kwa mujibu wa katiba? Click to expand... Kwa mujibu wa katiba, ila kwa kupigiwa kura za ndio au hapana
Bhuluba said: Mbona kila Rais anakuwa Madarakani kwa mujibu wa katiba? Click to expand... Kwa mujibu wa katiba, ila kwa kupigiwa kura za ndio au hapana
Nazgur JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3,729 Reaction score 2,851 Nov 14, 2021 #22 black sniper said: Kodi zilipanda x2 kwa biashara zote enzi hizo Nilifunga kazi baada ya kuambiwa lipa mara mbili ni maagizo toka juu Click to expand... We huma biashara acha uongo, Labda mlikua na share madem na hao TRA Na biashara yakobutakuta ni kibanda ndo wakuchaji mara mbili? Acha utani basi.
black sniper said: Kodi zilipanda x2 kwa biashara zote enzi hizo Nilifunga kazi baada ya kuambiwa lipa mara mbili ni maagizo toka juu Click to expand... We huma biashara acha uongo, Labda mlikua na share madem na hao TRA Na biashara yakobutakuta ni kibanda ndo wakuchaji mara mbili? Acha utani basi.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Nov 14, 2021 #23 Nazgur said: We huma biashara acha uongo, Labda mlikua na share madem na hao TRA Na biashara yakobutakuta ni kibanda ndo wakuchaji mara mbili? Acha utani basi. Click to expand... Daa mbona una jazba hivyo Ningeweka ushahidi hapa risiti za 2016/2017 halafu uone na barua waliotuma Sasa nidanganye kwa faida ya nani au unatetea utawala uliopita ? Utetezi ni jambo moja na ukweli ni lingine Sijakutania ujue
Nazgur said: We huma biashara acha uongo, Labda mlikua na share madem na hao TRA Na biashara yakobutakuta ni kibanda ndo wakuchaji mara mbili? Acha utani basi. Click to expand... Daa mbona una jazba hivyo Ningeweka ushahidi hapa risiti za 2016/2017 halafu uone na barua waliotuma Sasa nidanganye kwa faida ya nani au unatetea utawala uliopita ? Utetezi ni jambo moja na ukweli ni lingine Sijakutania ujue
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,019 Reaction score 10,455 Nov 14, 2021 #24 Hata Hawa walikuwa washkaji Ila haizuii kuwa critical sometimes.