Unamaanisha Nini mkuusasa umefukuwa huko kutafuta nini? umeshaambiwa kaburi halilali na njaa kazi unayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mshana nilijua hutakosa kuja humu Mada zako hizi
Kaka, yaani una archives ya kila kitu humu duniani. Mmmmh. Bado unafanya business ya garage na wachina wako ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Anamaanisha huwez kufukua kabur na kuliacha tupu au wazi sasa kazi kwakoUnamaanisha Nini mkuu
Anamaanisha huwez kufukua kabur na kuliacha tupu au wazi sasa kazi kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mbwa wetu aliitwa Popi alikufa mwaka 1980 January 22 nimefukua mahali alimozikwa leo baada ya miaka 40 nimemkuta kalala vilevile ila ni mifupa yake.
Pumzika kwa amani Popi.
Sisi Kama familia tulikupenda Sana Mjomba Gaspa alikuwa ametoka vitani Uganda alikuwepo wakati tunakuzika Mjomba Gaspa alilia machozi machozi ya vita machozi ya kijeshi popi the great.
Kwa kukuheshimu mfupa wako nimeupamba sebuleni kwangu.
Mtani mbona skeletoni hii inaonekana niya punda
Mtani mbona skeletoni hii inaonekana niya punda
Meno hayahaya yanayokunywa coca na pepsi labda uzungumzie meno ya watu wa zamani maana mtu yupo mzima kila siku ni kung'oa meno ha ha utegemee libaki akifaMifupa inaweza kaa hata miaka 80, kinachokaa zaidi bila kuhariibika ni meno.