Nimefukua kaburi alilozikwa mbwa wetu nikiwa mdogo mwaka 1980 nimekuta mifupa yake iko vizuri mpaka leo

Nimefukua kaburi alilozikwa mbwa wetu nikiwa mdogo mwaka 1980 nimekuta mifupa yake iko vizuri mpaka leo

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Huyu mbwa wetu aliitwa Popi alikufa mwaka 1980 January 22 nimefukua mahali alimozikwa leo baada ya miaka 40 nimemkuta kalala vilevile ila ni mifupa yake.

Pumzika kwa amani Popi.

Sisi Kama familia tulikupenda Sana Mjomba Gaspa alikuwa ametoka vitani Uganda alikuwepo wakati tunakuzika Mjomba Gaspa alilia machozi machozi ya vita machozi ya kijeshi popi the great.

Kwa kukuheshimu mfupa wako nimeupamba sebuleni kwangu.
 
Isiwe kesi
4437988592_9657733222_b.jpeg

Jr[emoji769]
 
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji144][emoji1]... Duu inaelekea unanifahamu vizuri
Kaka, yaani una archives ya kila kitu humu duniani. Mmmmh. Bado unafanya business ya garage na wachina wako ?

Sent from my iPhone using JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Inamaana popi hana vitukuu na vilembwe kama vipo na vyenyewe uvionyeshe kaburi la popi
 
Huyu mbwa wetu aliitwa Popi alikufa mwaka 1980 January 22 nimefukua mahali alimozikwa leo baada ya miaka 40 nimemkuta kalala vilevile ila ni mifupa yake.

Pumzika kwa amani Popi.

Sisi Kama familia tulikupenda Sana Mjomba Gaspa alikuwa ametoka vitani Uganda alikuwepo wakati tunakuzika Mjomba Gaspa alilia machozi machozi ya vita machozi ya kijeshi popi the great.

Kwa kukuheshimu mfupa wako nimeupamba sebuleni kwangu.

Mshirikina tu wewe, unataka kuhahalisha ulonzi wako! 40 years Unafanya mambo ya ajabu hivyo? Kweli uchawi una ushawishi!
 
Mifupa inaweza kaa hata miaka 80, kinachokaa zaidi bila kuhariibika ni meno.
Meno hayahaya yanayokunywa coca na pepsi labda uzungumzie meno ya watu wa zamani maana mtu yupo mzima kila siku ni kung'oa meno ha ha utegemee libaki akifa
 
Inamaana popi hana vitukuu na vilembwe kama vipo na vyenyewe uvionyeshe kaburi la popi
Nadhani sio rahisi kupata mwendelezo wa uzao wa wanyama mbwa huzaa na mbwa yeyote.
 
Back
Top Bottom