Nimefukua kaburi alilozikwa mbwa wetu nikiwa mdogo mwaka 1980 nimekuta mifupa yake iko vizuri mpaka leo

Nimefukua kaburi alilozikwa mbwa wetu nikiwa mdogo mwaka 1980 nimekuta mifupa yake iko vizuri mpaka leo

Meno hayahaya yanayokunywa coca na pepsi labda uzungumzie meno ya watu wa zamani maana mtu yupo mzima kila siku ni kung'oa meno ha ha utegemee libaki akifa

Hayo hayo ndiyo. Mnaokunywa cocacola na pepsi nyie, wengiine hatugusi beverages zozote zile sababu za kiafya.
 
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji144][emoji1]... Duu inaelekea unanifahamu vizuri

Jr[emoji769]

[emoji23][emoji23][emoji23] siyo sana, sema kuna mdada/mchepuko mlikosana mkaachana ndo nikawa karibu naye nikapata abc zako.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom